BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
A spectacular win Leceister..Hongereni!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii timu msimu ujao itapotea kama ilivyopoteaga Blackburn rovers 96
Mkuu hebu njoo uthibitishe hii hoja yako...kweli kabisa . Pumzi itakata tu hawa ...wenye ligi yao watachukua nafasi zao
Oyoooooo ayaaaaaa teh teh teh mtani nimekunywa weeeee kujumuika na wazee wa kazi vijana the army leicester city ndo nimestuka sahivi bado na hangover aisehh,,,,, hebu tugonge kwa kizenji[emoji109] , sasa mtani naomba uhamie rasmi huku, maana hutalia na kudondosha machozi yanayo sababishwa na uzembe wa club kama wale shabiki wa ARSENAL , hutasuasua na kubahatisha WIN kama hileeeee timu yetu wanajiita the RED DEVIL (MAN UNITED ) mtani, hutajutia maana sisi hatufukuzi hovyo kocha kama timu hileeee ta the blues yani CHELSEA , wala hutosikia leo tuna shinda halafu tuna fungwa mfululizo kama MAN CITY kujiunga ni bure kujisajili ni bure kushangilia ni bure mtani kucheka ni bureeeee sasa mtani unangoja nini YANI EHH, na jezi tubadirishane mtaniWoyooooooooooooo wapiiiii weweeee!!!!!
Target ya msimu ujao ni Top 10 isha semwaKumbe hii timu ina washabiki....du msimu ijayo itashuka daraja
Fox ndo maana a.k.a yao n fantastic foxes #LCFC #fearless.kichwa kilicho kwenye hiyo logo ya leicester ni cha mnyama gani...
[emoji109] [emoji109] mtani bahati Mbaya mimi nimechanjia Red kabisaaa!!!msimu ujao tunawapokea kombe [emoji3] [emoji3]Oyoooooo ayaaaaaa teh teh teh mtani nimekunywa weeeee kujumuika na wazee wa kazi vijana the army leicester city ndo nimestuka sahivi bado na hangover aisehh,,,,, hebu tugonge kwa kizenji[emoji109] , sasa mtani naomba uhamie rasmi huku, maana hutalia na kudondosha machozi yanayo sababishwa na uzembe wa club kama wale shabiki wa ARSENAL , hutasuasua na kubahatisha WIN kama hileeeee timu yetu wanajiita the RED DEVIL (MAN UNITED ) mtani, hutajutia maana sisi hatufukuzi hovyo kocha kama timu hileeee ta the blues yani CHELSEA , wala hutosikia leo tuna shinda halafu tuna fungwa mfululizo kama MAN CITY kujiunga ni bure kujisajili ni bure kushangilia ni bure mtani kucheka ni bureeeee sasa mtani unangoja nini YANI EHH, na jezi tubadirishane mtani
Haina mashabiki hawa wote mamlukii 2Kumbe hii timu ina washabiki....du msimu ijayo itashuka daraja
Hahahahaha unapenda usawa wewe mtani, naona equal right imekuathiri mweee, basi sawa mtani, je mmejipanga maana msimu ujao itakuwa habari nyingine........[emoji460] [emoji460][emoji109] [emoji109] mtani bahati Mbaya mimi nimechanjia Red kabisaaa!!!msimu ujao tunawapokea kombe [emoji3] [emoji3]
Mtani pamba jukwaa kwa mapicha picha ya ubingwa au tukupambie hadi jukwaa??Hahahahaha unapenda usawa wewe mtani, naona equal right imekuathiri mweee, basi sawa mtani, je mmejipanga maana msimu ujao itakuwa habari nyingine........[emoji460] [emoji460]
Tusaidiane mtani ni jukumu letu sote mbona unakimbia majukumu, natafakari msimu ujao mbweha the foxes tu-boreshe sehemu gani maaana ALL EYES ON US... Consistent is all what matter my dia.... Sipati picha nikivuta taswira ya EPL....Mtani pamba jukwaa kwa mapicha picha ya ubingwa au tukupambie hadi jukwaa??
Mtani kesho game la chelsea ndo litanoga... Tutapeana latest pics game ya kesho, kikombe bado kipo kwa wa hisani, soon watakabiziwa mzigo wao leicester city , tutasaidiana kuleta images wakiwa wamelibeba juu mkombe mtani,Mtani pamba jukwaa kwa mapicha picha ya ubingwa au tukupambie hadi jukwaa??
Mechi ipi ya Chelsea mtani? Jana Chelsea walicheza na wakachezea kichapo.Mtani kesho game la chelsea ndo litanoga... Tutapeana latest pics game ya kesho, kikombe bado kipo kwa wa hisani, soon watakabiziwa mzigo wao leicester city , tutasaidiana kuleta images wakiwa wamelibeba juu mkombe mtani,