Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunatafuta washangiliaji wa mkopo, karibu sana japo kwa leo tuHongereni sana
Guardiola naona sasa atakuwa ameanza kuielewa EPLMpira wanaopiga hawa jamaa leo unanikumbusha msimu ulopita hawakai nao sana ila wakiupata waya !
Kuna waqt kabla ya half-time alikuwa anachezesha kiganja cha mkono kama anapiga kinanda hivi mara akune uwaraza basi moja haikai mbili haikai.Guardiola naona sasa atakuwa ameanza kuielewa EPL
Aliwatetemesha sana wenzake akiwa na Messi.Kuna waqt kabla ya half-time alikuwa anachezesha kiganja cha mkono kama anapiga kinanda hivi mara akune uwaraza basi moja haikai mbili haikai.
Kesha kula 4 kwa 1 mpaka sasaApigwe tu,maana hakuna namna.
Leo Vardy anafanya yake.Apigwe tu,maana hakuna namna.