Leicester City, Special Thread

Leicester City, Special Thread

Team imerudi kwenye form. Ni mwendo wa kuchukua point Tatu muhimu. Nadhani hii ndiyo team pekee inayopewa nafasi kubwa zaidi ya kuchukua ndoo ya Eufa mwaka huu. Bet hata kama ni kuweka nyumba yako
 
Msimu huu ni msimu mgumu sana, vijana walipoteza matumaini kabisa
 
Msimu huu ni msimu mgumu sana, vijana walipoteza matumaini kabisa
Kqa sasa wamerudi kwa ari na kasi kubwa Sana. Toka Raniel atimuliwe wanapata matokeo chanya tu. Hawa bila shaka ni mabingwa wapya wa Eufa mwaka huu
 
Kqa sasa wamerudi kwa ari na kasi kubwa Sana. Toka Raniel atimuliwe wanapata matokeo chanya tu. Hawa bila shaka ni mabingwa wapya wa Eufa mwaka huu
Bado kazi wanayo sio kirahisi hivyo mkuu,
 
Back
Top Bottom