Leka Dutigite:Wazawa Wa kigoma tufamiane.

Leka Dutigite:Wazawa Wa kigoma tufamiane.

Mimi ni muhutu lakini najisingizia muha, kwa sasa kwetu ni mwandinga na ni mbunge wa jimbo fulani hivi!
 
Mimi ni Mrundi, ila nazuga kuwa ni Muha wa Kibondo

Urundi ni Utaifa na Uha ni kabila

Unaweza kuwa Mngindo au Mmatumbi lakin UKAWA Mnyarwanda!

Unaweza kuwa Muha lakin bado UKAWA Mrundi
 
Back
Top Bottom