Lela Mussa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar: Rais Samia anastahili kupewa Uprofesa

Hahahahahahahaha
 
Ema hii ukiwa seriously sana na maisilahi ya nchi, lazima utangulizwe mbele za haki 😢
 
Kila siku nazidi kuelewa, kauli ya Prof Assad, kuwa "asilimia 60 ya watumishi wa umma, ni vilaza, wajinga, hawana uwezo"
Na alipendekeza, ni Bora kupiga chini wote, uanze upya na asilimia 40 iliyobaki.
Na siku zinavyo zidi kwenda mbele machawa ndo watakua viongozi wa nchi, balaa tupu
 

Lucas mwashambwa yale mambo yetu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…