cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Zipo kwetu songea zinaitwa chitwani, zinatibu ukoma, ukurutu, znazuia ngozi kuharibka kwa kusambaa zaidi.Pole asee...
Mimi kuna ndugu yangu ulikuwa unamtokea "sina uhakika kama ni mmoja maana yeye alikuwa anapoteza rangi ya mdomo kabisaa ambao kiasilia ni mweusi".
Dawa za asili ndo zilizomponyesha.. sikumbuki ni zipi maana ni muda mrefu umepita ila ni aidha zinatokea songea ama kagera... alipona kabisaa hivyo usipungukiwe na imani kumbuka hakuna mateso ya duniani ambayo mbingu ikashindwa kuziondoa