Zipo kwetu songea zinaitwa chitwani, zinatibu ukoma, ukurutu, znazuia ngozi kuharibka kwa kusambaa zaidi.Pole asee...
Mimi kuna ndugu yangu ulikuwa unamtokea "sina uhakika kama ni mmoja maana yeye alikuwa anapoteza rangi ya mdomo kabisaa ambao kiasilia ni mweusi".
Dawa za asili ndo zilizomponyesha.. sikumbuki ni zipi maana ni muda mrefu umepita ila ni aidha zinatokea songea ama kagera... alipona kabisaa hivyo usipungukiwe na imani kumbuka hakuna mateso ya duniani ambayo mbingu ikashindwa kuziondoa
Mkuu Kama zinatibu naomba nihakikishie PM ili nimtumie madam LelethiZipo kwetu songea zinaitwa chitwani, zinatibu ukoma, ukurutu, znazuia ngozi kuharibka kwa kusambaa zaidi.
Amepona au mabaka yamefifia na hayasambau tena?Kuna Masai moja alikua anafanya kazi hapa ofisini alikua nao,ameeenda KwaoKurudi amepona,mungu mkubwa kwake
Huyu MAMA aMeshiriki kwenye filamu mbalimbali, eg Hotel Rwanda, yesterday etc na sio sarafina tu.Leleti Khumalo
pole sana kiongoziYes Binafsi ninao huo ugonjwa, nimehangaika wee mara buguruni, sinza , mara muhimbili mara hindul mandar.... daktar mmoja pale muhimbili aliniambia hakuna dawa ila niende Hindu mandar nafika pale namkuta yeye mwenyewe nikachoka...
Nikaenda clinic moja ya wahindi nikaanza tiba lakini wapi, nimeshukuru tuu mambo mengine yaende
#Vitiligo