Lema ajitosa kugombea Ubunge, apinga ajenda ya 'No Reform, No Election'

Status
Not open for further replies.

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
843
Reaction score
1,024
Baada ya ufuatiliaji wa kimtandao uliofanywa na JamiiCheck imebainika kuwa taarifa hii si ya kweli bali ni ya kutengenezwa na wapotoshaji. Rejea kiungo hiki, SI KWELI Lema ajitosa kugombea Ubunge, apinga ajenda ya 'No Reform, No Election'

==
Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X), Godbless Lema ametangaza kuwa ameungana na wanachama wengi wa CHADEMA wanaopinga ajenda ya No Reforms, No Election.

Lema ameweka wazi msimamo wake wa kushiriki kwenye uchaguzi akisisitiza kuwa ni muhimu kuendelea kupigania mabadiliko ndani ya mfumo wa kisiasa kupitia ushiriki wa moja kwa moja kwenye uchaguzi.

Aidha, amethibitisha kuwa yupo tayari kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Arusha Mjini.

IMG-20250403-WA0076.jpg
 
𝐋𝐄𝐌𝐀 𝐀𝐉𝐈𝐓𝐎𝐒𝐀 𝐊𝐔𝐆𝐎𝐌𝐁𝐄𝐀 𝐔𝐁𝐔𝐍𝐆𝐄 , 𝐀𝐏𝐈𝐍𝐆𝐀 𝐀𝐉𝐄𝐍𝐃𝐀 𝐘𝐀 "𝐍𝐎 𝐑𝐄𝐅𝐎𝐑𝐌𝐒, 𝐍𝐎 𝐄𝐋𝐄𝐂𝐓𝐈𝐎𝐍"

Fake Fake
 
Kwa kuwa no reform no election yalikuwa ni maazimio ya Mkutano Mkuu na Baraza Kuu, nafikiri kikao kitaitishwa ili kutengua maazimio hayo.

Hopefully Chama kitakuwa kimepata nafasi ya kutafakari uamuzi wao.

Ila ninachojua, bila kulinda kura hakuna mpinzani atakayetangazwa mshindi na tume hii ambayo Mwaka 2020 ilitangaza mgombea mmoja tu wa CDM kuwa Mbunge.
 
halafu mods wanaacha mavi kama haya yanapepea
 
migambo wanaruka na kukanyagana ndani ya chadema:pedroP:
 
Yaani hili swala lipo wazi kabisa na mfanano wake upo kwa timu ya mpira.. Refa wako, Uwanja wako, Rise man wako, Kocha wako, Mpaka Mashabiki wako. Mechi unaa ndaa wewe halafu ushindwe.. Hapo ni maigizo tu ya danganya Toto.. Nahisi vijana wengi wana fuatilia mpira.. Ni Rahisi sana kuelewa hili somo..
 
𝐋𝐄𝐌𝐀 𝐀𝐉𝐈𝐓𝐎𝐒𝐀 𝐊𝐔𝐆𝐎𝐌𝐁𝐄𝐀 𝐔𝐁𝐔𝐍𝐆𝐄 , 𝐀𝐏𝐈𝐍𝐆𝐀 𝐀𝐉𝐄𝐍𝐃𝐀 𝐘𝐀 "𝐍𝐎 𝐑𝐄𝐅𝐎𝐑𝐌𝐒, 𝐍𝐎 𝐄𝐋𝐄𝐂𝐓𝐈𝐎𝐍"

Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X), Godbless Lema ametangaza kuwa ameungana na wanachama wengi wa CHADEMA wanaopinga ajenda ya No Reforms, No Election.

Lema ameweka wazi msimamo wake wa kushiriki kwenye uchaguzi akisisitiza kuwa ni muhimu kuendelea kupigania mabadiliko ndani ya mfumo wa kisiasa kupitia ushiriki wa moja kwa moja kwenye uchaguzi.

Aidha, amethibitisha kuwa yupo tayari kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Arusha Mjini.

View: https://x.com/HabariDigital_/status/1907716790198874454?t=YLLvMnDxKLI5jrIWToknvQ&s=19
 
Kwa kuwa no reform no election yalikuwa ni maazimio ya Mkutano Mkuu na Baraza Kuu, nafikiri kikao kitaitishwa ili kutengua maazimio hayo.

Hopefully Chama kitakuwa kimepata nafasi ya kutafakari uamuzi wao.

Ila ninachojua, bila kulinda kura hakuna mpinzani atakayetangazwa mshindi na tume hii ambayo Mwaka 2020 ilitangaza mgombea mmoja tu wa CDM kuwa Mbunge.
Ma failures 🤣🤣
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom