Lema aliwahi kutabiri na yakayokea, kuna la kujifunza au ni coincidence?

Tofautisheni utabiri na tamko. Lema alisema, "Mungu amenionesha hutofika 2020" je, Magu alifika 2000 na ngapi? Magu amesitishwa uhai wake lini? Date aliyoseti Lema?
 
wewe ni sukuma gang na huyo magufuli wako amekufa utake usitake huyo magufuli amekufa na huna la kufanya.
 
Lema alitabiri kuwa Magufuli atakufa. Na kweli magu kavuta.

Lema alitabiri anguko la Ndugai. Na kweli Ndugai hivi Sasa kafa kisiasa na anaishi kama mama wa nyumbani aliyeolewa kwenye uke-wenza
 
Acha uongo rejea clip ya Lema ali-set time frame.siyo kufa tu maana kila mtu atakufa.
 
Hata manabii waliotabiri ujio wa Yesu utabiri wao ulitimia baada ya miaka kibao kuvuka time frame ambayo iliwekwa. Lema ilipita miezi 3 tu. Tarehe 17 March kitu kikavuta.
 
Back
Top Bottom