Anadhani kuwahubiri wananchi kwenye mikutano kunatosha pasipo kuwa na mabadiliko ya katiba.Sasa Bila Katiba hayo mabadiliko ya fikra yatakujaje?
Huyu Meku siku hizi kawaje kwani??
Hivi wewe huwa ni msemaji wa Lema, Chadema au ndiyo vile huna kazi ya kufanya?Kauli mbiu kuu ya Chadema ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani.
Lema yeye anasema Katiba haina maana yeyote, inamaana anapingana na chama chake, anapingana na msimamo wa Mkiti wake anaungana na CCM wanaosema katiba haikuletei chakula mezani.
Kifupi Lema anasema tuendelee na hii hii katiba iliyowapa CCM uhalali wa kuunda serikali haramu, inayowapa CCM kiburi cha kusema majeshi yote ni mali yake. Katiba inayowapa CCM nguvu ya kuingilia mihimili yote, Bunge Mahakama na Serikali. Katiba inayowapa CCM uhalali wa kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuiba kura bila kushitakiwa mahakamani.
View attachment 3700090
Pandikizi la CCMKauli mbiu kuu ya Chadema ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani.
Lema yeye anasema Katiba haina maana yeyote, inamaana anapingana na chama chake, anapingana na msimamo wa Mkiti wake anaungana na CCM wanaosema katiba haikuletei chakula mezani.
Kifupi Lema anasema tuendelee na hii hii katiba iliyowapa CCM uhalali wa kuunda serikali haramu, inayowapa CCM kiburi cha kusema majeshi yote ni mali yake. Katiba inayowapa CCM nguvu ya kuingilia mihimili yote, Bunge Mahakama na Serikali. Katiba inayowapa CCM uhalali wa kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuiba kura bila kushitakiwa mahakamani.
View attachment 3700090
Sina kazi unataka kunipa kazi.Hivi wewe huwa ni msemaji wa Lema, Chadema au ndiyo vile huna kazi ya kufanya?
Juzi kati kasema tuwapende sana police wanafanya kazi iliyotukuka 😄 😄Sasa Bila Katiba hayo mabadiliko ya fikra yatakujaje?
Huyu Meku siku hizi kawaje kwani??
Kwahiyo hajui kwamba hiyo kudai katiba mpya nayo ni fikra?!Lema ni kirusi.
chadema si kuna uhuru na haki kwa wanachama na viongozi wake kutoa maoni yao binafsi kadiri wanavyoona mambo yalivyo my friends, ladies and gentlemen?Kauli mbiu kuu ya Chadema ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani.
Lema yeye anasema Katiba haina maana yeyote, inamaana anapingana na chama chake, anapingana na msimamo wa Mkiti wake anaungana na CCM wanaosema katiba haikuletei chakula mezani.
Kifupi Lema anasema tuendelee na hii hii katiba iliyowapa CCM uhalali wa kuunda serikali haramu, inayowapa CCM kiburi cha kusema majeshi yote ni mali yake. Katiba inayowapa CCM nguvu ya kuingilia mihimili yote, Bunge Mahakama na Serikali. Katiba inayowapa CCM uhalali wa kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuiba kura bila kushitakiwa mahakamani.
View attachment 3700090
Chadema nao wana Yuda wao, Nchimbi yuko wapi.chadema si kuna uhuru na haki kwa wanachama na viongozi wake kutoa maoni yao binafsi kadiri wanavyoona mambo yalivyo my friends, ladies and gentlemen?
au kuna mabadiliko kwenye hilo, na uhuru huo sasa ni kwaajili ya watu fulani wachache special tu ndani ya chadema?
Mchaga huyo ni after moneySasa Bila Katiba hayo mabadiliko ya fikra yatakujaje?
Huyu Meku siku hizi kawaje kwani??
Gentleman,Chadema nao wana Yuda wao, Nchimbi yuko wapi.
Kazi yako si ndio hii wewe!Sina kazi unataka kunipa kazi.