Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Wewe hujamuelewa Lema kiasi cha kupotosha watu mpaka machawa wenza wanakupiga makofi.Kauli mbiu kuu ya CHADEMA ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani.
Lema yeye anasema Katiba haina maana yeyote, inamaana anapingana na chama chake, anapingana na msimamo wa Mkiti wake anaungana na CCM wanaosema katiba haikuletei chakula mezani.
Kifupi Lema anasema tuendelee na hii hii katiba iliyowapa CCM uhalali wa kuunda serikali haramu, inayowapa CCM kiburi cha kusema majeshi yote ni mali yake. Katiba inayowapa CCM nguvu ya kuingilia mihimili yote, Bunge Mahakama na Serikali. Katiba inayowapa CCM uhalali wa kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuiba kura bila kushitakiwa mahakamani.
View attachment 3700090
Huyu sasa inabidi tuanze kuamini tetesi juu yake, ni wa kufuatiliwa huyu meku.Anadhani kuwahubiri wananchi kwenye mikutano kunatosha pasipo kuwa na mabadiliko ya katiba.
Chawa ndio wanamwelewa.Lema yuko sahihi sana nyumbu hawawezi kumuelewa!!
Mimi nimemuelewa nilivyomuelewa kuwa katiba haina faida yeyote.Wewe hujamuelewa Lema kiasi cha kupotosha watu mpaka machawa wenza wanakupiga makofi.
Lema yupo sawa na CDM, na hiyo falsafa imejikita ndani ya No reform no election. Reform ni pamoja na kubadili fikra.
Viaz nyie ndio mnaofafanya mambo yakwame.
Katiba iliyopo ni nzuri mno, mapungufu ni machache tu yalekebishweChawa ndio wanamwelewa.
Inasemekana kashavuta sa sijui ni kweliSasa Bila Katiba hayo mabadiliko ya fikra yatakujaje?
Huyu Meku siku hizi kawaje kwani??
Ikisimama yenyewe kama yenyewe katiba sio Mungu, haina faida yoyote hii mada kubwa kwa level hiyo ulioelewa. Ongeza uelewa.Mimi nimemuelewa nilivyomuelewa kuwa katiba haina faida yeyote.
Kwani katiba ya sasa Ina ruhusu utekaji,ufisadi,ubinafisi,kuuwa watu na kufunga upinzani?Katiba ndio ingetuongoza kuzuia hawa watu wabaya wanaoteka na kuua watu , wanaoiba mahela ya nchi kama yao binafsi wanatishia watanganyika wamekua kama vibaka kwenye nchi yao...
Sasa mtu akisema fikra ndio zibadilike na mtu huyo huyo anatuhumiwa kumlengesha mwenzie hilo sasa ni jambo la kufikiria sana..
Ila mdau kakuuliza Nchimbi yuko wapi ila wewe umekuja na ngonjera zako za Uhuru wa Chadema. Kumbuka ulikuwa Chawa wake Promax ndiyo maana umeulizwa swali hiloGentleman,
ningefurahi kufahamu ikiwa ule uhuru wa kutoa maoni kwa wana chadema na viongozi kama bado upo ama la
huko kwenu hakuna mawazo huru?Kauli mbiu kuu ya CHADEMA ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani.
Lema yeye anasema Katiba haina maana yeyote, inamaana anapingana na chama chake, anapingana na msimamo wa Mkiti wake anaungana na CCM wanaosema katiba haikuletei chakula mezani.
Kifupi Lema anasema tuendelee na hii hii katiba iliyowapa CCM uhalali wa kuunda serikali haramu, inayowapa CCM kiburi cha kusema majeshi yote ni mali yake. Katiba inayowapa CCM nguvu ya kuingilia mihimili yote, Bunge Mahakama na Serikali. Katiba inayowapa CCM uhalali wa kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuiba kura bila kushitakiwa mahakamani.
View attachment 3700090
wakajifunze kenya kwenye katiba mpya shida kibao.Kwani katiba ya sasa Ina ruhusu utekaji,ufisadi,ubinafisi,kuuwa watu na kufunga upinzani?
Hayo uliyo yataja yote ni matokeo ya viongozi kutokuheshimu katiba iliyopo .
Sasa kama hao viongozi waliopo ameshindwa kuheshimu katiba ya sasa ,hiyo katiba mpya itakuwa na utukufu gani kutoka kwa mungu mpaka wahieshimu?
Wacha tusubiri tuone.Inasemekana kashavuta sa sijui ni kweli
Anyway muda utaongea
Mkuu wewe ni mfuatiliaji wa mambo kweli?? Umeona wanaharakati wanachosema kuhusu lema?? Labda sasa wewe utakua miongoni mwa wachache wenye akili CHADEMAWewe hujamuelewa Lema kiasi cha kupotosha watu mpaka machawa wenza wanakupiga makofi.
Lema yupo sawa na CDM, na hiyo falsafa imejikita ndani ya No reform no election. Reform ni pamoja na kubadili fikra.
Viaz nyie ndio mnaofafanya mambo yakwame.
Angalau Chadema wao wanaishia kulalamika mitandaoni kwa CCM ukitoa maoni wanakupoteza free Polepole.Gentleman,
ningefurahi kufahamu ikiwa ule uhuru wa kutoa maoni kwa wana chadema na viongozi kama bado upo ama la