Uchaguzi 2020 Lema ashtushwa na mpango wa msimamizi wa uchaguzi Arusha kubandika wapiga kura hewa laki 1

Mie nishafanya maamuzi kura yangu ni kwa kila mgombea wa Chadema.
Yangu ni hayo tuu manake nitakuwa nimetendea haki maamuzi yangu
Ni kweli kabisa. Ila hata shinda Lissu. Huoni kwamba unapoteza kura yako kwa mtu ambaye hawezi kushinda hata jua litoke usiku?.
 
na kwann wameongeza laki moja tu, wangefanya angalau 500K, cha msingi ili lichama lifutwe tu tupate upinzani kutoka vyama vingine ikiwezekana waungane
Ni kweli kabisa, hili genge ni lakufutwa kabisa. Mavyama ya mfukoni kama hii saccos ndio vyanzo vya kina M23. Chama kinachobariki mauaji kama kule njombe hakina tofauti na genge la wahuni. Ngastuka machale kundesa.
 
Hela tamu Sana,
Awamu mbili zote unakula mamilioni ya hela ambazo ni kodi za wananchi lakini hutosheki
 
Hujui wachaga wewe mwambie aende kwa wagogo Dodoma
Sisi Ndio Wasomi na watu wenye uchumi nchi hii
Proudly Chaggas
 
Huo ndio mchezo wa CCM katika kila uchaguzi. Wana mbinu kuu tatu.
1. Wapiga kura hewa.
2. Kubadilisha matokeo (chekundu-cheusi)
3. Vituo hewa.

Ukizuia hapo, CCM hawawezi kuvuka popote.
 
hahahaha chadema bhana
wapiga kura Laki 240(mia mbili arobaini )
wapiga kura Laki 370 (laki mia tatu sabini)

alafu akahitimisha nyundo ya mwisho kwa kusema ni sawa na ongezeko la wapiga kura hewa 100 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

no wonder mnaokuteza wahuni mtahani wakawe mawakala
 
Nguvu ya umma ndio jawabu ya haya yote
 
Wapiga kura hewa??

Jamaa kathibitisha vipi kuwa hao wapigakura ni hewa??
 
Wapiga kura hewa??

Jamaa kathibitisha vipi kuwa hao wapigakura ni hewa??
Kwanini mnalazimisha watoto wa shule form one na form two wakapige kura?! ole wenu wakaonekane vituoni tarehe 28.10.2020, watajuta.

Arusha Mjini CCM haishindi, msijidanganye kabisa, Gambo ameshindwa kufanya mkutano wa hadhara muda wote anamsubiri Magifuli angalau akambebe, kazi mnayo.
 
Huo uwongo wenu wa chadema mwisho wenu ni October
nawaambia mtaleta machafuko ambayo hayatakua na msingi wowote ..wakati wote ccm ndio wamekua wakileta uvunjifu wa amani ..ila kwa Mungu hakuna mwenye dhuluma atashinda ....safari hii hata bao la mkono halitakuepo..
 
Ni kweli kabisa. Ila hata shinda Lissu. Huoni kwamba unapoteza kura yako kwa mtu ambaye hawezi kushinda hata jua litoke usiku?.
Haina shida nitakuwa nimeitendea haki nafsi yangu. Potelea pote. Ila magu siwezi mpa kura hata mgombea yeyete wa ccm. Shida ni kikokotooo kinaniuma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…