Uchaguzi 2020 Lema ashtushwa na mpango wa msimamizi wa uchaguzi Arusha kubandika wapiga kura hewa laki 1

Uchaguzi 2020 Lema ashtushwa na mpango wa msimamizi wa uchaguzi Arusha kubandika wapiga kura hewa laki 1

Ccm maendeleo yamewashinda,mmebakia wizi wa kura.
Lema wasimamie kucha wezi hao.Hakikisha mawakala hawaendi hata kukojoa.
 
Vituo hewa Mwanza

D12761EE-AE26-491B-B215-A53E778062FB.png

Nimeiangalia hiyo channel yako ila nimeona imejaa mambo ya upande mmoja tu. Si ni kama sehemu yenu ya propaganda tu.
 
I don't know about others
I know and proud for what we are[emoji857][emoji857][emoji857]
Sasa kama huwajui ndo usingewataja Mkuu... ujue kujisifu na kujivunia ulichonacho ni jambo jema ila sio kuwadharau au kuwataja kihasihasi wengine
 
Kwa Arusha,Gambo hana chake ikiwa uchaguzi ni Wa haki.Jana nimemsikiliza Gambo kwenye kampeni hapa kikokwaru lemara,hana point,hana hoja.
Ila kwa siasa za fitina nafigisufisu gambo ndo mwenyewe.Lema kaza buti kama ulivyokaza mwaka 2015 kikaeleweka.
 
Ni kweli kabisa, hili genge ni lakufutwa kabisa. Mavyama ya mfukoni kama hii saccos ndio vyanzo vya kina M23. Chama kinachobariki mauaji kama kule njombe hakina tofauti na genge la wahuni. Ngastuka machale kundesa.

aina kelele baba la baba
 
Hapo ndipo wapinzani wanapobanwa kutaka mtu kupiga kura popote alipo kwa madai ya wapiga kura hewa mara feki
 
Bwana Lema na CHADEMA;

Njia za kudhibiti hili ni;

1. Kupiga kelele na kuwazomea kama ulivyofanya kila mnapogundua hujuma fulani. Mwizi yeyote akipigiwa kelele hukimbia ama huacha kupiga hatua kwenda mbele kwenda kuiba..!

2. Hakikisheni organization ya kuwapata na kuwahudumia mawakala wenu inakuwa perfect. Hakikisheni wanapigwa semina na maelekezo fasaha. Mkiwa na mawakala walio committed kweli hakuna mpiga kura asiye halali wakiwemo hao wanafunzi wataingia kupiga kura ama kuingizs kura za wizi kwenye vituo vya kupigia kura..!!

3. Huu siyo wakati wa kulia lia. Ni wakati wa kupambana kwelikweli. Hii ni vita. Silaha yenu ni nguvu ya umma (people's power). Itumieni kikamilifu hiyo..
 
Naona unajaribu kuwaokoa tume na makando kando yao.
Teh teh teh 🤣🤣🤣 sio kuwaokoa mkuu ila kuwakumbusha wajibu.

Lema amelalamika DC na DSO wanakagua majina ya mawakala jambo ambalo ni kinyume na taratibu maana wao sio wasimamizi wa uchaguzi, inabidii Nec iwapige marufuku
 
Sasa kama huwajui ndo usingewataja Mkuu... ujue kujisifu na kujivunia ulichonacho ni jambo jema ila sio kuwadharau au kuwataja kihasihasi wengine
Mkuu tafadhali usiweke maneno kwenye kinywa changu
Mimi naheshimu na kupenda watu wote pia ninajivunia jinsi nilivyo
Mkuu kunaawatu hawapendi jinsi au jamii walionayo
 
Ni kweli kabisa. Ila hata shinda Lissu. Huoni kwamba unapoteza kura yako kwa mtu ambaye hawezi kushinda hata jua litoke usiku?.
,[emoji23][emoji23] Labda ukoo wenu ndio wapiga kura pekee.

Tutakushangaza mchana kweupe subiri.

Saivi acha stress zikolee najua lissu anakupa headache
 
Wapiga kura hewa??

Jamaa kathibitisha vipi kuwa hao wapigakura ni hewa??
Ni rahisi sana unachukua daftari la kupiga kura unalinganisha na orodha ya wapiga kura iliyobandikwa kwenye mbao kama idadi inalingana au la!! Ukikuta kuna majina ya wapiga kura kwenye mbao yameongezeka tofauti na kwenye daftari la kupiga kura ujue mmepigwa tayari,

Kuhusu vituo hewa,mawakala wote wanapewa orodha halali ya vituo vya kupigia kura ila ukikuta kuna kituo kimeongezwa ambacho hakipo kwenye orodha ya kupigia kura ujue hicho ni kituo hewa na kitatumia kutengeneza kura hewa ambazo zitaingizwa kwenye kujumlisha kura hapo nako ukiona hivyo vituo ambavyo havipo kwenye orodha ya vituo halali vya kupigia kura ujue tayari mmepigwaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom