Uchaguzi 2020 Lema ashtushwa na mpango wa msimamizi wa uchaguzi Arusha kubandika wapiga kura hewa laki 1

Sio kuwakemea mtu mkuu, bali ni kuchukua tu sheria mkononi. Tume ndio wanaotumika na ccm kunajisi uchaguzi. Na haya ni maagizo ya rais ili kulazimisha ionekane anakubalika. Machafuko tu ndio suluhu ya hizi tabia za viongozi wa kiafrika.
Hiyo Dawa,machafuko Kenya yalifanya moi aka surrender. Huwezi UA wananchi wote.
 
Sio kuwakemea mtu mkuu, bali ni kuchukua tu sheria mkononi. Tume ndio wanaotumika na ccm kunajisi uchaguzi. Na haya ni maagizo ya rais ili kulazimisha ionekane anakubalika. Machafuko tu ndio suluhu ya hizi tabia za viongozi wa kiafrika.
Jitokeze wewe mwenyewe acha kujificja nyuma ya keyboard!
 
Ni kweli kabisa. Ila hata shinda Lissu. Huoni kwamba unapoteza kura yako kwa mtu ambaye hawezi kushinda hata jua litoke usiku?.
Maana ya uchaguzi ni kutoa kura yako kwa mtu aliyekuvutia na kumnyima asiyekuvutia.
 
na kwann wameongeza laki moja tu, wangefanya angalau 500K, cha msingi ili lichama lifutwe tu tupate upinzani kutoka vyama vingine ikiwezekana waungane
Naona mkiwa kwny harakati za kuomba kura.
 
Hujui wachaga wewe mwambie aende kwa wagogo Dodoma
Sisi Ndio Wasomi na watu wenye uchumi nchi hii
Proudly Chaggas
Hizi dharau ndo zinaniuzi mimi... sasa Wahaya watasemaje nao? Vipi kuhusu Wamakonde nao wakija na chakujisifu nacho? Au vipi huko Dodoma Wagogo wakajivunia kitu fulani wewe utaambulia nini?
 
Hizi dharau ndo zinaniuzi mimi... sasa Wahaya watasemaje nao? Vipi kuhusu Wamakonde nao wakija na chakujisifu nacho? Au vipi huko Dodoma Wagogo wakajivunia kitu fulani wewe utaambulia nini?
I don't know about others
I know and proud for what we are🤑🤑🤑
 
Washenzi sana hawa jamaa
 
na kwann wameongeza laki moja tu, wangefanya angalau 500K, cha msingi ili lichama lifutwe tu tupate upinzani kutoka vyama vingine ikiwezekana waungane

Kwani hivyo vyama vingine unavyoona ni bora ni kipi kinafanya visianze? Au formula ni lazima cdm ife kwanza ndio hivyo vyama pandikizwa vianze?
 
Yaani NEC wanamaanisha jiji la Arusha kila mwaka kulikuwa na ongezeko la wapiga kura wapya 25,000, yaani ni sawa kila mwezi kuna wapiga kura wapya 2000 na kila siku 40? Na DC mchakato wa viapo anahusikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…