johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ElimuLema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!
😂😂😂🤩🤩Lema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!
Tunàvyoishi Ni zaidi ya wadudu.Lema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!
Kwani hapo Tanga hamuishi kwenye Magofu?Elimu
Elimu
Elimu ndogo afu hana exposure
Tundu Lissu amekuwa mtalii sasa wiki Tanzania wiki anarudi uhamishoni ambako ameanza kupata marupurupu, Lissu hawez tena kuish TzMjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema ambaye wengine hupendelea kumwita Nabii ametua jijini Tanga na kushikwa na mshangao mkuu
Lema amesema haamini macho yake kushuhudia Watu wanaishi kwenye Magofu yaliyojengwa na waarabu nyakati za utumwa
Lema amewataka wakazi wa Tanga kuukimbia umasikini kwa kujikomboa Kifikra kwanza kisha wakumbatie Kilimo cha kisasa
Mh Lema yuko kwenye ziara ya Mikutano ya nchi nzima akiwa na Viongozi mbalimbali wa Chadema
Mungu ni Mwema wakati Wote!
Hata Wewe ukienda mbinguni kwa muda utayasahau Yote ya Dunia hii pindi utakaporejea!Nahakika Mzee mgaya Katia chumvi hapo,maana Nabii amekulia jirani na Tanga
Hiyo ni miaka mitatu tu mkuu, vpi akikaa miaka 10 huko?Kwani Canada aliishi miaka mingapi Hadi aende Tanga ashangae na kulia??
Hajashangaa bado watu hawajui Kingereza?
Hiyo ni miaka mitatu tu mkuu, vpi akikaa miaka 10 huko?
Miaka 3 ni Mingi sana ndio ya Utumishi wa Yesu hapa duniani!Hiyo ni miaka mitatu tu mkuu, vpi akikaa miaka 10 huko?
Kuna wakati mnamuongelea kama kajitu flani kalichotokea kwenye umaskini totoro na kakaibukia ughaibuni ns kuwa na nyodo🤣🤣🤣Lema ingekuwa amezaliwa huko alikotoka halafu iwe ndo mara yake ya kwanza kufika Tanzania angetuua kwa presha kwa haya Mambo aliyoyakuta, yaani Lema wakutuona sisi tunaishi kama wadudu kweli.........!