Lema awa Makamu Rais wa kampuni ya Canada barani Afrika, aleta mradi wa gari solar zinazopaa Tanzania

Tanzania ni nchi ya majaribio sana, sasa kama walimweka mtu kama Jiwe kwenye nafasi nyeti nini kinashindikana
Inaonekana jiwe alikuwa anakunogesha na kukupagawisha sana kunako majamboz!

Hujawahi kuacha kumtaja popote!
 
Naona ni jambo zuri lakini na wasiwasi na usalama wa hayo magari
Pili na wasiwasi na vipaumbele vyetu kama nchi,
Ni Bora angetafuta mkandarasi wa mradi mkubwa WA solar wa kuzalisha umeme na kuuzia tanesco kuunga juhudi za serikali na Dunia katika nishati mbadala
Vilevile kuondoa tatizo la umeme la Muda mrefu
 
Kwa mawazo yenu,hii teknolojia itafaa wapi hapa Tanzania?

Na ni kampuni gani inaweza kuzihudumia hizo gari za kuruka,kama hata za chini ni gharama kubwa?

Yanakuja yale ya Yule mbunge Gwajima!

Gia ya kuingilia Arusha hiyo!
 
Solar airship haina tija Tanzania!

Tunamsubiri Arusha tarehe 1 Machi kisha naye akimbie kama mwenzake
 
Mwanasiasa wa Tanzania na mbunge wa zamani wa Arusha Mjini anaeishi uhamisho nchini Kanada, Godbles Lema ambaye pia ni makamu wa Rais wa masoko barani Afrika wa kampuni Kanada, Solar ship inc ametoa scholarship kwa ajili ya watanzania kujifunza kuongoza gari solar zinazopaa.

Pia Makamu Lema amewaalika wadau kushiriki kuokoa maisha Afrika ambapo kwa Tanzania 70% bado vijijini kusikuwa miundombinu thabiti.

=======

Solar-powered airships could be the perfect means of transportation in isolated parts of Africa with poor road infrastructure, Solar Ship Vice President of Africa Markets Godbless Lema said.

As part of its efforts to provide air transportation services in remote rural areas, the Canadian company Solar Ship Inc. has announced that it will establish a scholarship to support the training of operators in Tanzania on how to operate solar airships.

According to Mr Lema, the $1 million (Sh2.3 billion) fund will help prepare a qualified cadre of airship flight operators who will help lower death rates caused by long distances between villages and medical facilities.

Mr Lema, a Tanzanian politician who has been living in exile in the North American country since December 2020, is set to return home soon.

About 70% of Tanzania is rural and usually cut off from the basic infrastructure network, he noted.

“That is why I am announcing the creation of a scholarship fund and inviting Arctic partners to work with African communities to save lives, protect ecosystems, and shift to a sustainable electric economy,” he remarked.

Credit: Citizen

View attachment 2520557

Hii inaitwa nitoke vipi?
 
Lema anapenda kufanya vitu hata havijui, kaamua kurudi na gia ya airship... Sasa Makamu wa Rais wa Airship anarudi kufanya nn huku Tz, si akae huko huko ale hela..

Hii ni gia tu ya kurudi Tz, eti Makamu wa Rais wa Airship? Airship kwio..!!
 
screenshots_2023-02-17-17-51-40-png.2520557

Zikipatikana 20 Dar es salaam pamoja na mwendokasi tatizo letu litaisha. Watu nadhani watajazana huko juu.Itabidi waweke na vidirisha vidogo vya kuchungulia walio chini.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa mawazo yenu,hii teknolojia itafaa wapi hapa Tanzania?

Na ni kampuni gani inaweza kuzihudumia hizo gari za kuruka,kama hata za chini ni gharama kubwa?

Yanakuja yale ya Yule mbunge Gwajima!

Gia ya kuingilia Arusha hiyo!
Zile piki piki za kubebea wajawazito wanaokaribia kujifungua ili kuzui vifo zilizosifiwa sana halafu zikajazwa kila hospitali ya mkoa kuliko hata vitanda mbona sizioni tena.?angalau mabaki yake.
 
Mwanasiasa wa Tanzania na mbunge wa zamani wa Arusha Mjini anaeishi uhamisho nchini Kanada, Godbles Lema ambaye pia ni makamu wa Rais wa masoko barani Afrika wa kampuni Kanada, Solar ship inc ametoa scholarship kwa ajili ya watanzania kujifunza kuongoza gari solar zinazopaa.

Pia Makamu Lema amewaalika wadau kushiriki kuokoa maisha Afrika ambapo kwa Tanzania 70% bado vijijini kusikuwa miundombinu thabiti.

=======

Solar-powered airships could be the perfect means of transportation in isolated parts of Africa with poor road infrastructure, Solar Ship Vice President of Africa Markets Godbless Lema said.

As part of its efforts to provide air transportation services in remote rural areas, the Canadian company Solar Ship Inc. has announced that it will establish a scholarship to support the training of operators in Tanzania on how to operate solar airships.

According to Mr Lema, the $1 million (Sh2.3 billion) fund will help prepare a qualified cadre of airship flight operators who will help lower death rates caused by long distances between villages and medical facilities.

Mr Lema, a Tanzanian politician who has been living in exile in the North American country since December 2020, is set to return home soon.

About 70% of Tanzania is rural and usually cut off from the basic infrastructure network, he noted.

“That is why I am announcing the creation of a scholarship fund and inviting Arctic partners to work with African communities to save lives, protect ecosystems, and shift to a sustainable electric economy,” he remarked.

Credit: Citizen

View attachment 2520557
Watu wenye vision zao.

Kuna watu watanuna mpaka wapasuke
 
Chura amepigwa teke.

Hongera Lema. Hizi zitatusaidia sana kuondokana na matuta yaliyojaa kwenye barabara zetu kila eneo.
Huo mradi ni mkubwa a wa teknolojia ua juu sana.
 
Atazipiga kama zile za kukodisha chopa ya chadema kutoka UK,wa Canada hawamjui vema lema wakicheza naye watalia sana

USSR
😅😅😅yaani Lema wa arusha akawapige wakanada?
 
Nadhani ingekuwa vyema kama kunhekuwa na taarifa inayoelezea namna ya kupata hizo scholarship.
 
Inaonekana jiwe alikuwa anakunogesha na kukupagawisha sana kunako majamboz!

Hujawahi kuacha kumtaja popote!
Mimi kila siki kabla ya kulala na baada ya kuamka lazima nimkemee shetani kama ambayo kila siku mpaka natoka duniani lazima nikemee maovu ya Jiwe kila nipatapo nafasi
 
Lema anapenda kufanya vitu hata havijui, kaamua kurudi na gia ya airship... Sasa Makamu wa Rais wa Airship anarudi kufanya nn huku Tz, si akae huko huko ale hela..

Hii ni gia tu ya kurudi Tz, eti Makamu wa Rais wa Airship? Airship kwio..!!
Halafu awe makamu wa Rais kwa mtaji gani aliowekeza huko?

Kwa teknolojia gani aliyochangia huko?

Watanzania huwa tunapenda kuripoti uzuzu wa hali ya juu,bila kutaka hata kujua ni nini hasa mtu anapaswa kuwa navyo huko ulaya kabla ya kuwa rais wa kampuni.
 
Back
Top Bottom