Pre GE2025 Lema awapongeza Lissu na Heche mapema, asema Jumatano atakuwa busy kwa furaha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Wakuu naona Godbless Lema ameshaamua kuwapongeza wagombea wake mapema akiamini wameshashinda.

Hongereni sana kwa ushindi mkubwa ambao wajumbe wamewapa leo. Sasa mkafanye kazi na mkaheshimu imani mliyopewa na wanachama na wajumbe wa mkutano mkuu. Nimefurahi sana mmeshinda. Retweet this message siku ya Jumatano. Mimi nitakuwa busy na furaha siku hiyo. - Godbless Lema

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Lisu ni mbeligiji
 
Hatumpi chama mbeligiji
 
Aliacha cdm mapemaaaaaa

Baada ya kulamba
 
Lema,Lissu,Heche wote hao kwa mihemuko walio nayo kama Magufuli wanatakiwa wawe chini ya mtu mwenye busara atakaye kuwa ana wafunga gavana kwa nchi yetu hii na kwa katiba hii bila hivyo lock up itakuwa ni nyumbani kwao pamoja na wafuasi wao wasiokuwa na busara.
 
Busara ni nini?.
 
Ni ngumu kuamini mihemuko,hakika panahitaji hekima mno
 
jiandaeni kujibu hoja
 
jiandaeni kujibu hoja
Hoja zipi,hizihizi za Heche anayesema kuwa Samia hawezi kushinda kwa kuwa ni mwanamke na ni mzanzibar au hizi za Lema za kuwapongeza watu kushinda kabla ya uchaguzi?.
 
Naungana na Lema kuwapongeza viongozi wetu wapya, hiyo siku na ifike tu.
Nitafurahi mno!
 
Hoja zipi,hizihizi za Heche anayesema kuwa Samia hawezi kushinda kwa kuwa ni mwanamke na ni mzanzibar au hizi za Lema za kuwapongeza watu kushinda kabla ya uchaguzi?.
kama humpendi LISu ba mheshimu ,yule hajawahi shindwa jambo Toka akiwa darasa la tatu
 
kama humpendi LISu ba mheshimu ,yule hajawahi shindwa jambo Toka akiwa darasa la tatu
Suala siyo kumpenda na siwezi kumchukia kwa sababu ni kimchukia sipati faida yoyote,tatizo langu liko kwenye upapala wake na mihemuko yake.
 
Suala siyo kumpenda na siwezi kumchukia kwa sababu ni kimchukia sipati faida yoyote,tatizo langu liko kwenye upapala wake na mihemuko yake.
upapla wapi ,serikali mpaka Leo haijawahi jibu hojazake ,sibungeni Wala kitaa

Yule hapewi rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…