Pre GE2025 Lema awataka watu kuendelea kuchangia tone tone hata kama wanakutana na changamoto, asema mwisho wa uhuni umekaribia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Okay, sawa.


Lakini Bw. Godbless Lema pamoja na Chama chake Cha CHADEMA wanapaswa kuutambua Ukweli kwamba hakuna uwezekano wa kuzuia kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Mwaka huu wa 2025.

Aidha, ni kweli kabisa kwamba Hoja za Watu wa CHADEMA ni za kweli, pia ni za msingi. Hoja zao zina mashiko kuhusiana na Kukosekana kwa Mamlaka zinazoaminika kwa ajili ya kusimamia Uchaguzi ulio huru, wa HAKI na ulio wa Wazi.

Jambo la muhimu zaidi la kuzingatiwa ni kwamba: KAMWE CCM HAITAWEZA KUKUBALI KWA HIYARI KUBADILISHA MIFUMO YA UCHAGUZI. NA KAMWE CCM HAITAWEZA KUKUBALI KWA HIYARI KUBADILISHA KATIBA YA NCHI.

KAMWE HAUPO KABISA UWEZEKANO WA KUBADILISHA KATIBA YA NCHI KWA NJIA ZA KIDEMOKRASIA. HAUPO UWEZEKANO!

Kwa bahati mbaya sana, huu ndio Ukweli mchungu Sana kupita kiasi!
 
Sasa hii akili ya ku draw fedha kwenye Acc hiyo hiyo na kuituma tena ndiyo utaratibu gani?
Jana imenitokea, nilipojaribu kutuma fedha,
Upo uwezekano mitandao inazidiwa kutokana na ubize baada rais wetu kufungua nchi kiuchumi,
Nilisubiri kama nusu saa nikatuma ikakubali.
 
hii ni vita ya kiuchumi baina ya vyama vya siasa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…