Ni Wosia wa Msingi sana kutoka kwa mwenyekiti mstaafu wa Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ukurasani X
Inahuzunisha sana Tajiri wa Chadema kutaka kuwahonga Damu changa ya Chadema 🐼
Mungu wa mbinguni mbariki Godbless Lema na Wote Wenye Uadilifu Ndani ya Chadema