Lema: Bavicha kesho mnafanya Uchaguzi wa viongozi wenu huku Soka na wenzake hawajulikani walipo. Msiweke Bei kwenye Utu wenu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni Wosia wa Msingi sana kutoka kwa mwenyekiti mstaafu wa Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ukurasani X

Inahuzunisha sana Tajiri wa Chadema kutaka kuwahonga Damu changa ya Chadema 🐼

Mungu wa mbinguni mbariki Godbless Lema na Wote Wenye Uadilifu Ndani ya Chadema
 
Eeh
 
Back
Top Bottom