Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Umefika Turiani kuelekea Dodoma. Vipi utataka lift nikupatie kama utakuwa barabarani?Vipi mpango wako wakupindua umefika wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefika Turiani kuelekea Dodoma. Vipi utataka lift nikupatie kama utakuwa barabarani?Vipi mpango wako wakupindua umefika wapi?
Siwezi kujiunga kwenye mission mbaya hiyo! Mimi nasubiri October 2025 ili tuwachinjie bahari Saccos ya CDM.!Umefika Turiani kuelekea Dodoma. Vipi utataka lift nikupatie kama utakuwa barabarani?
Unasubiri kwani kuna ushindani, ama ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?Siwezi kujiunga kwenye mission mbaya hiyo! Mimi nasubiri October 2025 ili tuwachinjie bahari Saccos ya CDM.!
Watz watapiga kura nyinyi endeleeni ya hiyo porojo yenu ya "No Reform No Election"Unasubiri kwani kuna ushindani, ama ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
Wewe ni Old school chochote afanyaje Chadema ni kibayaWalitaka kuifanya Angola wameshtukiwa!
Watz ama tume ya uchaguzi itapika idadi kubwa ya wapiga kura? Ama unadhani hatuoni idadi ndogo ya wapiga kura toka dhalimu magu aingie madarakani?Watz watapiga kura nyinyi endeleeni ya hiyo porojo yenu ya "No Reform No Election"
Ni dhahiri huna akiliMkoloni DJ Mbowe au? Si mlishamng'oa au bado!!?
CHADEMA muda huu wanzungumzia kampeni ya Tone tone namna inavyoendelea hadi sasa
Updates...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi kwa kiasi walichonacho kwani fedha hizo zitakisaidia chama hicho kufanya kazi zake na kuwafikia wananchi wengi.
Akizungumza leo machi 14 kwenye tukio la 'Tone Tone Night'
Lema amesema fedha hizo zitakisaidia chama kuacha hata kutegemea ruzuku ambayo wanapewa na serikali kila mwezi.
Lema ametoa wito kwa wanachama wa vyama vingine ikiwemo chama cha Mapinduzi CCM kukichangia CHADEMA kwani uimara wa CCM unategemea uimara wa CHADEMA
“CCM hamtatuzuia kwenye kusudi ambalo lipo mbele yetu, tumekusudia kuwatoa madarakani tutatafuta hela mbinguni tutatafuta hela duniani hamna maarifa kuliko sisi kwa hiyo hela za nje tutachukulia huko huko nje”
Kwani uumini una sura ipi?Mtu yoyote ambaye ni muumini wa mabadaliko hapa nchini.
Kumbe!!Ni dhahiri huna akili
Kwani sisi siyo watz!!?? Wanaccm wote pamoja na vyama vingine ikiwemo wanaCDM wataenda kupiga kura Octoba 2025 isipokuwa nyinyi wachache wanaharakati.Watz ama tume ya uchaguzi itapika idadi kubwa ya wapiga kura? Ama unadhani hatuoni idadi ndogo ya wapiga kura toka dhalimu magu aingie madarakani?
Kweli mkoloni ccmChadema haitapoa mpaka mkoloni ang'olewe
Hakuna mwanacdm atapoteza muda kwenda kwenye chaguzi za udanganyifu. Idadi ya wapiga kura wa 2015 haitakaa ifikiwe tena kwa chaguzi hizi za udanganyifu. Labda useme wanaharakati ni wengi kuliko nyie wenye muda wa kushiriki kwenye chaguzi za kishenzi.Kwani sisi siyo watz!!?? Wanaccm wote pamoja na vyama vingine ikiwemo wanaCDM wataenda kupiga kura Octoba 2025 isipokuwa nyinyi wachache wanaharakati.
Endelea kuota lakini kumbuka kuamka usije ukakojolea kitandani mkuu! 🤣🤣Hakuna mwanacdm atapoteza muda kwenda kwenye chaguzi za udanganyifu. Idadi ya wapiga kura wa 2015 haitakaa ifikiwe tena kwa chaguzi hizi za udanganyifu. Labda useme wanaharakati ni wengi kuliko nyie wenye muda wa kushiriki kwenye chaguzi za kishenzi.
Sijui kwanini wanapenda kukamaa na Dar tu wakati Kuna wananchi wapo vijijini huko hawajui hata Hilo zoezi. Wangetumia redio za kijamii huko mikoani ambazo wasikilizaji wao wengi ni wananchi wa kawaida, hizi elfu mbili mbili wangepata Sana. Zoezi Hilo kwa mikoani lingeratibiwa na makatibu wa Kanda na wenyeviti wa mikoa. Na viongozi hao wangepimwa kwa matokeo ya michango kwamba Kanda Gani imefanya vizuri kwa kuhamasisha uchangiaji wa chama .Hivi kwani humu hakuna viongozi wa Chadema ambao ni verified, muwe mnawakopi mawazo mazuri kama haya???? Wanakomaa na Dar tu Dar wakati watu wa mikoani wako vibrant sana na mabadiliko.
Tumieni Radio za mikoani, magrouo ya wasap ya mikoani kuhamasisha mchangiwe...