Pre GE2025 Lema: CCM hamtatuzuia kwenye kusudi ambalo lipo mbele yetu (Tone tone)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umefika Turiani kuelekea Dodoma. Vipi utataka lift nikupatie kama utakuwa barabarani?
Siwezi kujiunga kwenye mission mbaya hiyo! Mimi nasubiri October 2025 ili tuwachinjie bahari Saccos ya CDM.!
 
Unasubiri kwani kuna ushindani, ama ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
 
Watz watapiga kura nyinyi endeleeni ya hiyo porojo yenu ya "No Reform No Election"
 
Watz ama tume ya uchaguzi itapika idadi kubwa ya wapiga kura? Ama unadhani hatuoni idadi ndogo ya wapiga kura toka dhalimu magu aingie madarakani?
 
Mungu ibariki chadema na wapenda haki wote Tanzania.
 
Watz ama tume ya uchaguzi itapika idadi kubwa ya wapiga kura? Ama unadhani hatuoni idadi ndogo ya wapiga kura toka dhalimu magu aingie madarakani?
Kwani sisi siyo watz!!?? Wanaccm wote pamoja na vyama vingine ikiwemo wanaCDM wataenda kupiga kura Octoba 2025 isipokuwa nyinyi wachache wanaharakati.
 
Hakuna mwanacdm atapoteza muda kwenda kwenye chaguzi za udanganyifu. Idadi ya wapiga kura wa 2015 haitakaa ifikiwe tena kwa chaguzi hizi za udanganyifu. Labda useme wanaharakati ni wengi kuliko nyie wenye muda wa kushiriki kwenye chaguzi za kishenzi.
 
Endelea kuota lakini kumbuka kuamka usije ukakojolea kitandani mkuu! 🤣🤣
 
Sijui kwanini wanapenda kukamaa na Dar tu wakati Kuna wananchi wapo vijijini huko hawajui hata Hilo zoezi. Wangetumia redio za kijamii huko mikoani ambazo wasikilizaji wao wengi ni wananchi wa kawaida, hizi elfu mbili mbili wangepata Sana. Zoezi Hilo kwa mikoani lingeratibiwa na makatibu wa Kanda na wenyeviti wa mikoa. Na viongozi hao wangepimwa kwa matokeo ya michango kwamba Kanda Gani imefanya vizuri kwa kuhamasisha uchangiaji wa chama .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…