mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Lema akizungumza katika Mkutano na waandishi wa habari leo Novemba 13 amesema CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini
Lema amesema kuwa CHADEMA imenasa vikao ambavyo CCM wanafanya chama cha siasa ambacho wana ushirika wa karibu wa kuwawekea wagombea ili wagombea wao ionekane wameshinda wengi ili baada ya uchaguzi huu wakitangaze chama hicho kama chama kikubwa cha upinzani.
Lema ameongeza kuwa mpango hiu wameujua hivyo CCM waache mara moja, haiwezekani ACT Wazalendo kuwa na wagombea 3,000 nchini, hawana machinery hiyo, sijui hata kama Arusha wana mtu hata mmoja.
ACT wanasema wana wagombea 50,000 halafu Mchengerwa anasema warudisheni hata kama hawajadhaminiwa na chama. Maana yake wanataka kupitisha vyama vya upinzani kimkakati lakini ni watu wao halafu watangaze chama cha pili ni hiki, cha tatu ni hiki na cha nne ni CHADEMA ili waondoe hadhi yetu ya kuwa chama kikubwa cha upinzani.
PIA SOMA
- LIVE - CHADEMA wanazungumza na Waandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa