johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umenena vema 😀Acha uwoga Lema.
Onesheni demokrasia kwa kuruhusu uchaguzi huru na ushindani ndani ya chama chenu!
Mnadai tume huru na chaguzi huru wenyewe hamtoi huo uhuru!
Ni nani amekatazwa kugombea? Au kukatazwa kushindana? Lema ametoa maoni yake kama ambavyo Lissu amefanya. Wanachama ndio watakaoamua hatma ya chama sio Lissu au Lema.Acha uwoga Lema.
Onesheni demokrasia kwa kuruhusu uchaguzi huru na ushindani ndani ya chama chenu!
Mnadai tume huru na chaguzi huru wenyewe hamtoi huo uhuru!
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"
Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼
Jumaa Mubarak 😂
Dr Slaa alipata Kura ngapi?Hakuna mtu zaidi ya Chama....Kaondoka Dr Slaa CHADEMA ambaye alipata kura nyingi za urais kuliko Lissu lakin CDM bado ipo.
😄Hakuna mtu zaidi ya Chama....Kaondoka Dr Slaa CHADEMA ambaye alipata kura nyingi za urais kuliko Lissu lakin CDM bado ipo.
Huu ndio upuuzi unaofanya upinzani uonekana walewale tu. Sasa mtu kutumia haki yake kikatiba inakuwaje kosa tena kwenye chama cha demokrasiaAcha uwoga Lema.
Onesheni demokrasia kwa kuruhusu uchaguzi huru na ushindani ndani ya chama chenu!
Mnadai tume huru na chaguzi huru wenyewe hamtoi huo uhuru!
Awake chanzo cha hii habari. Lema kasema wapi na lini.Huu ndio upuuzi unaofanya upinzani uonekana walewale tu. Sasa mtu kutumia haki yake kikatiba inakuwaje kosa tena kwenye chama cha demokrasia
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"
Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼
Jumaa Mubarak 😂
Awake chanzo cha hii habari. Lema kasema wapi na lini.
Huu ndio upuuzi unaofanya upinzani uonekana walewale tu. Sasa mtu kutumia haki yake kikatiba inakuwaje kosa tena kwenye chama cha demokrasia
Wanapotosha tu watu.View attachment 3175564
Lumumba mnafiki sana