Pre GE2025 Lema: Hakunaga Mwanasiasa wa Upinzani alikuwa maarufu kama Lyatonga Mrema akajidanganya kuondoka NCCR mageuzi Lakini hiyo TLP iko wapi Leo?

Pre GE2025 Lema: Hakunaga Mwanasiasa wa Upinzani alikuwa maarufu kama Lyatonga Mrema akajidanganya kuondoka NCCR mageuzi Lakini hiyo TLP iko wapi Leo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂
 
Acha uwoga Lema.
Onesheni demokrasia kwa kuruhusu uchaguzi huru na ushindani ndani ya chama chenu!

Mnadai tume huru na chaguzi huru wenyewe hamtoi huo uhuru!
Ni nani amekatazwa kugombea? Au kukatazwa kushindana? Lema ametoa maoni yake kama ambavyo Lissu amefanya. Wanachama ndio watakaoamua hatma ya chama sio Lissu au Lema.

Amandla...
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂

Hakuna mtu zaidi ya Chama....Kaondoka Dr Slaa CHADEMA ambaye alipata kura nyingi za urais kuliko Lissu lakin CDM bado ipo.
 
Hakuna mtu zaidi ya Chama....Kaondoka Dr Slaa CHADEMA ambaye alipata kura nyingi za urais kuliko Lissu lakin CDM bado ipo.
😄
So CDM unaona iko vilevile😁.
In short CCM wanaona ni Bora abaki chairman kuliko hicho chuma kisichopindisha maneno.
Sasa tathmini nani anahitajika kubaki na CCM wanammudu vizuri.
Ya 2015 bado hayajatosha?Bado unazungusha mikono?
 
Uzushi. Sema chanzo maana kwenye mtandao wa X hajaandika kitu kama hicho.

Inawzekana hii kauli aliitoa siku nyingi tu ila mnataka kuitumia vibaya baada ya Lissu kutangaza kugombea (propaganda)

Alichoandika huko kwenye mtandao wa X ni hiki:

Kuna tofauti kubwa kati ya minyukano na utovu wa nidhamu. Na jambo la msingi ni kuwa wanachama wetu wengi pengine watakuwa wanajua tofauti zake. Utovu wa nidhamu unaua umoja na upendo na mahusiano. Tuko ktk kipindi cha kawaida sana cha kisiasa ndani ya Chama chetu,isipokuwa kwa namna tunavyo tazama, kufikiri, kutenda ndio inaweza kuwa tatizo au baraka.
 
Acha uwoga Lema.
Onesheni demokrasia kwa kuruhusu uchaguzi huru na ushindani ndani ya chama chenu!

Mnadai tume huru na chaguzi huru wenyewe hamtoi huo uhuru!
Huu ndio upuuzi unaofanya upinzani uonekana walewale tu. Sasa mtu kutumia haki yake kikatiba inakuwaje kosa tena kwenye chama cha demokrasia
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂
Screenshot_20241213_094550_X.jpg

Unakuwaga liongo sana
 
Back
Top Bottom