Pre GE2025 Lema: Hakunaga Mwanasiasa wa Upinzani alikuwa maarufu kama Lyatonga Mrema akajidanganya kuondoka NCCR mageuzi Lakini hiyo TLP iko wapi Leo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Zingatia, hamna binadamu wanafanana na kila mtu kaja duniani kwa mpango na mission kamili aliyopangiwa na Mungu, so kama Mrema alifika alipofika kwa nini uhisi wengine watafuata huo mkondo? Kwani walizaliwa pamoja? Hata mapacha hawafanani. Kila mtu ana wito wake hapa duniani na atatimiza ndoto zake kwa namna alivyoitwa! So hakuna hoja hapa japo umeshindwa kuprove kama Lema kasema au ni utunzi wako tu!
 
Siasa za Lissu ni confrotational haziwezi kudumu..na hivyo mtu anayeamini kwa mrengo huo asipopata wafuasi wanaofanana nae unakuwa ndio mwisho wa chochote anachofanya, kwa maana hiyo hawezi kuwa Mwenyekiti wa chama akafanikiwa sababu hao wafuasi wa kufanana nae sio tu CHADEMA hata kwa nchi nzima ni km hawapo, km wapo ni wachache sana..la pili kuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani Tanzania si tu kujua kuongea na kuwa na elimu..inahitaji kujitoa sana kwa rasilimali zako mwenyewe pale inahitajika, mkionyesha hata chumba cha darasa moja tu alichojenga Lissu jimboni kwake wakati akiwa mbunge..niko tayari kufuta huu uzi..Lissu hana sifa ya kuchangia maendeleo kwa kutoa rasilimali toka mfukoni kwake, na kuwa Mwenyekiti wa chama upinzani ni kuwa MLEZI pia..hii sifa Lissu hana! Conclusion..pengine atafaa siku za usoni Mungu akimjalia afya! lkn si kwa sasa..!
kuna jambo jingine CHADEMA wanapaswa kufahamu na nadhani wanafahamu lkn wanachukulia poa..kuna kundi kubwa sana la vijana ndani ya chama ni mamluki..lengo lao ni kuleta fujo kuvuruga MAAMUZI..chama kijihadhari sana na maamuzi yanashinikizwa na vijana..lugha za jazba, ushabiki km wa ccm, matusi, kejeli na dharau na fujo zingine, mkiwafahamu watu hawa dawa ni kutojali sana wanachosema..bahati mbaya hawa ndio wanamsapoti Lissu agombee uenyekiti taifa, kwangu mimi bora kubaki 5 ndani ya chama kuliko kuwa na kundi la vijana 1,000 wa aina ya waliopo CHADEMA kwa sasa.
 
๐Ÿ˜„
So CDM unaona iko vilevile๐Ÿ˜.
In short CCM wanaona ni Bora abaki chairman kuliko hicho chuma kisichopindisha maneno.
Sasa tathmini nani anahitajika kubaki na CCM wanammudu vizuri.
Ya 2015 bado hayajatosha?Bado unazungusha mikono?
Kikwete aliwahi kutamka kuwa ni aheri Mrema awe Rais kuliko Lisu kuingia Bungeni. Hilo aliliongrlea akiifikiria CCM itakavyoelemewa endapo Lisu atapata nafasi ya kuyasemea mabaya ya CCM na Serikali yake.
 

Imani tu, huna proof yoyote ni sawa na maelezo ya mwamposa na mafuta yake!
 
Labda akili ya karatasi ndio haiwez kuona proof ya niliyotaja..
Maneno tu haya hata kwnye kanga yapo! We una litmus ya kupima future ya uongozi wa Lissu? Umejuaje atakua confrontational? Umekariri? Kama uliperceive tabia ya mtu ya jana unaassume itakua kesho pia? Unafikiri alidesa huyu kama mlivyo vijana wa kisasa? Andiko lote lipo kama ramli tu
 
tukisema hicho ni chama cha wachaga mnatutukana
haya sasa ndugu katika kabila wameanza kujitokeza
kumtetea mchaga mwenzao m/kiti wa kudumu
 
Acha uwoga Lema.
Onesheni demokrasia kwa kuruhusu uchaguzi huru na ushindani ndani ya chama chenu!

Mnadai tume huru na chaguzi huru wenyewe hamtoi huo uhuru!
Kwani nani kazuiwa kugonmbea, sio kama kile chenu kinachojinasibu na kutoa fumu moja Kwa mgombea mmoja Tu
 
Matendo yanasema zaidi kuliko maneno..kuna umri ambao binadamu hawezi kubadilika na hii ni sayansi si mimi..km unakataa, kataa kwa mifano! Lipi ambalo haliendani na Lissu kati ya niliyotaja? Lissu sio confrotational? Lissu ana moyo wa kuchangia vitu vyake kwa ajili ya wengine? Lissu anajua kulea kwa ajili ya kesho? Kosoa kwa mifano.
 
Na NSSR Ipo wapi?
 
Jiwe gizani tusubiri itatoka sauti ya Haikaeli au Antipasi, tusubiri.
 
Tundu Lissu, Lissu anahisi ni mkubwa kuliko CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ