Pre GE2025 Lema: Hakunaga Mwanasiasa wa Upinzani alikuwa maarufu kama Lyatonga Mrema akajidanganya kuondoka NCCR mageuzi Lakini hiyo TLP iko wapi Leo?

Pre GE2025 Lema: Hakunaga Mwanasiasa wa Upinzani alikuwa maarufu kama Lyatonga Mrema akajidanganya kuondoka NCCR mageuzi Lakini hiyo TLP iko wapi Leo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Assad alishinda kwa zaidi ya 93% Bado wakamtoa madarakani kwa Aibu na nguvu... Kitendo Cha Mbowe kuendelea kung'ang'ania uenyekiti ni jambo baya kidemocracy na kitaasisi hasa ya umma, lazima kuwepo na succession plan
 
Mbowe hakatalii madarakani ila sasa amwachie nani? Amwachie ambaye rafiki yake ametangulia kule ili wapange vizuri namna ya kukiua Chama?
 
Acha uwoga Lema.
Onesheni demokrasia kwa kuruhusu uchaguzi huru na ushindani ndani ya chama chenu!

Mnadai tume huru na chaguzi huru wenyewe hamtoi huo uhuru!
Haya maneno ungewaambia CCM sio CHADEMA, kwani wewe hujasikia Lissu ametangaza kugombea nafasi ya uenyekiti bila kuzuiwa.

CHADEMA kuna demokrasia hakuna kuachiana.
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂
Haahaa hakuna aliye maarufu kuliko taasisi, ndo maana wapenda mabadiliko wanashauri mbowe akae pembeni kumpisha lissu Ili mambo yaendelee
 
Hawa jamaa dah....huwaga sipendi kusikia neno CCM itatawala milele ila dah...ngoja niache tu kufuatilia sIasa za nchi hii maana haya madaraka inaonekana siyo CCM tu wenye kiu nayo....
Yaani imefikia chadema wanapigana vijembe hadharani badala ya kumalizana ndani ya vikao vya chama?
Wakikabidhiwa nchi?
Vijembe kwenye siasa ni kawaida, kikubwa kile wanachopambania kwa ccm wakioneshe chadema pia
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua

Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"

Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼

Jumaa Mubarak 😂
Ebwanaa ehh unamkumbuka yule sheikh mtopea 😄 alivuma sana Enzo za harakati za mrema
Alikuwa mtata sana
Watoto wadogo hawawezi kumjuwa

Ova
 
Back
Top Bottom