CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
Lema ni mtu hatari.yuko kuratibu mauaji ya LissuIko huko huko Ukurasani X
Tafuta kwa Kutulia uuone mfano wa Lyatonga Mrema 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lema ni mtu hatari.yuko kuratibu mauaji ya LissuIko huko huko Ukurasani X
Tafuta kwa Kutulia uuone mfano wa Lyatonga Mrema 😀
Acha ukabila wewe UWTHakuna ubishi hapo ndio maana wachagga wote wameanza kupaaza sauti ,Lema saa nyingi kashatoa povu ,kileo nae .
tulichelewa saana
CCM nyie ndiyo wauaji wakubwaLema ni mtu hatari.yuko kuratibu mauaji ya Lissu
Unawezaji pinga kuwa saccos is full of chaggas hadi kwenye mikoa mingine wanawapeleka kuwa viongozi aiseeAcha ukabila wewe UWT
Hapo usipotoshe mada. Waliotaka kupoka uhai wa Lissu wanajulikana.Lema ni mtu hatari.yuko kuratibu mauaji ya Lissu
Mbowe hakatalii madarakani ila sasa amwachie nani? Amwachie ambaye rafiki yake ametangulia kule ili wapange vizuri namna ya kukiua Chama?Assad alishinda kwa zaidi ya 93% Bado wakamtoa madarakani kwa Aibu na nguvu... Kitendo Cha Mbowe kuendelea kung'ang'ania uenyekiti ni jambo baya kidemocracy na kitaasisi hasa ya umma, lazima kuwepo na succession plan
Huwezi kufanikiwa kwa kuwachukia kabila fulani kisa ni watafutaji huo ni ushetani kabisaUnawezaji pinga kuwa saccos is full of chaggas hadi kwenye mikoa mingine wanawapeleka kuwa viongozi aisee
Haya maneno ungewaambia CCM sio CHADEMA, kwani wewe hujasikia Lissu ametangaza kugombea nafasi ya uenyekiti bila kuzuiwa.Acha uwoga Lema.
Onesheni demokrasia kwa kuruhusu uchaguzi huru na ushindani ndani ya chama chenu!
Mnadai tume huru na chaguzi huru wenyewe hamtoi huo uhuru!
Haahaa hakuna aliye maarufu kuliko taasisi, ndo maana wapenda mabadiliko wanashauri mbowe akae pembeni kumpisha lissu Ili mambo yaendeleeMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"
Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼
Jumaa Mubarak 😂
Vijembe kwenye siasa ni kawaida, kikubwa kile wanachopambania kwa ccm wakioneshe chadema piaHawa jamaa dah....huwaga sipendi kusikia neno CCM itatawala milele ila dah...ngoja niache tu kufuatilia sIasa za nchi hii maana haya madaraka inaonekana siyo CCM tu wenye kiu nayo....
Yaani imefikia chadema wanapigana vijembe hadharani badala ya kumalizana ndani ya vikao vya chama?
Wakikabidhiwa nchi?
Hata mbowe anahisi ni mkubwa kuliko chadema, ndo maana alisema Hana mpango wa kuachia uongozi mpaka kifoTundu Lissu, Lissu anahisi ni mkubwa kuliko CHADEMA
Kwa sasa lissu hakuna wa kumgusa babaLema ni mtu hatari.yuko kuratibu mauaji ya Lissu
Ebwanaa ehh unamkumbuka yule sheikh mtopea 😄 alivuma sana Enzo za harakati za mremaMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza " iko wapi TLP Leo hii?"
Sijajua Lema anamlenga Mwanasiasa gani wa Upinzani?!!! 🐼
Jumaa Mubarak 😂
Mkuu sidhani kama hii habari ina ukweli...hajaweka chanzo chakeHuu ndio upuuzi unaofanya upinzani uonekana walewale tu. Sasa mtu kutumia haki yake kikatiba inakuwaje kosa tena kwenye chama cha demokrasia
Uchaguzi pekee ulioleta ushindani halali ni 2015 na pengine hata kama waligeuza matokeo
Alikuwa kama chongo hivi kimtindoEbwanaa ehh unamkumbuka yule sheikh mtopea 😄 alivuma sana Enzo za harakati za mrema
Alikuwa mtata sana
Watoto wadogo hawawezi kumjuwa
Ova
Chanzo Ukurasani X na hata humu ililetwa ibeba Hoja ya Chadema bila nidhamu itapotea 😂😂😂🔥🔥🔥🔥Mkuu sidhani kama hii habari ina ukweli...hajaweka chanzo chake