johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Godbless Lema siyo kichaa hata atamke haya manenoKumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli.
Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji.
Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari.
Soma Pia: Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa Magufuli ni kulinda rasilimali za nchi siyo kushinda kaburini kwake na mashada ya Maua!
Mlale Unono ππΉ
Niliwaambieni chadema ni wapumbavu na niliwaambieni kama samia atagombea uchaguzi 2025 basi damu nyingi sana itamwagika na kama akiwa raisi tena basi tanzania inakwenda kwenye giza la damu kuu...tena niliwaambia huyo... samia amelaaniwa na abdul mzawa wa tumbo lake kalaaniwa watu mkaniona mpumbavu kwa hayo maneno ila ukweli ukajulikana day by dayKumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli.
Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji.
Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari.
Soma Pia: Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa Magufuli ni kulinda rasilimali za nchi siyo kushinda kaburini kwake na mashada ya Maua!
Mlale Unono ππΉ
Hajawahi kumwita mh.Rais kuwa ni dikteta uchwara ...ila alimwita hayati JPM hivyo.....Godbless Lema siyo kichaa hata atamke haya maneno
Nenda you tube utamkuta ππGodbless Lema siyo kichaa hata atamke haya maneno
Umelaaniwa wewe kwa kukosa adabu juu ya watu wazima ,wazazi wa wengine na viongozi wa nchi......Niliwaambieni chadema ni wapumbavu na niliwaambieni kama samia atagombea uchaguzi 2025 basi damu nyingi sana itamwagika na kama akiwa raisi tena basi tanzania inakwenda kwenye giza la damu kuu...tena niliwaambia huyo... samia amelaaniwa na abdul mzawa wa tumbo lake kalaaniwa watu mkaniona mpumbavu kwa hayo maneno ila ukweli ukajulikana day by day
Kumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli.
Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji.
Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari.
Soma Pia: Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa Magufuli ni kulinda rasilimali za nchi siyo kushinda kaburini kwake na mashada ya Maua!
Mlale Unono ππΉ
....ndio haohao....Ndio maana nasemaga hawa ni vichaa anachokisema Leo kesho anasahau hawa si ndio walisema jpm dikteta?
Lema: Ingekuwa Shujaa Magufuli
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Lema: Ingekuwa Shujaa Magufuli
Dadeki ππππππππ
Get serious. Alichosema Lema ni sifa?Hajawahi kumwita mh.Rais kuwa ni dikteta uchwara ...ila alimwita hayati JPM hivyo.....
Sasa kumsifu JPM aliyembagaza si ukichaa?!!π€£
Hiyo inaonyesha kuna kitu kifanyike maana hali si shwari. Katikati ya utekaji na mauaji hayo kuna waosema hali ni shwari ni hatari sana.Kumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli.
Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji.
Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari.
Soma Pia: Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa Magufuli ni kulinda rasilimali za nchi siyo kushinda kaburini kwake na mashada ya Maua!
Mlale Unono ππΉ
Anamfagilia? Sawa.Kumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli.
Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji.
Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari.
Soma Pia: Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa Magufuli ni kulinda rasilimali za nchi siyo kushinda kaburini kwake na mashada ya Maua!
Mlale Unono ππΉ
Kibiblia Kiongozi wa Vita hutangulia mbeleAnamfagilia? Sawa.
Enzi zile shujaa wako Magufuli akiita Covid-19 ni "changamoto ya kupumua" Wizara ya Afya na serikali nzima inatambaa na hiyo beat "changamoto ya kupumua"! Hadi makanisani na misikitini. Hakukuwa na kauli mbadala. Hilo ndilo fagio alilopitisha Lema.
Sasa msaidie kiongozi wa sasa kuweka consistency ya kauli kwa watu wake na yeye afagiliwe.
Aisee π³Kibiblia Kiongozi wa Vita hutangulia mbele
Yeye kafa lakini Taifa limepona na Duniani kote Tanzania inaheshimika hata virusi Vya mpox wanaogopa kuvirusha bongo πΌ