Lema: Ingekuwa Magufuli pasingekuwa na kauli mbili za" Hali siyo shwari" na " Hali ni Shwari kabisa" kutoka Serikali hiyo hiyo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli.

Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji.

Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari.

Soma Pia: Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa Magufuli ni kulinda rasilimali za nchi siyo kushinda kaburini kwake na mashada ya Maua!

Mlale Unono 😀🌹
Niliwaambieni chadema ni wapumbavu na niliwaambieni kama samia atagombea uchaguzi 2025 basi damu nyingi sana itamwagika na kama akiwa raisi tena basi tanzania inakwenda kwenye giza la damu kuu...tena niliwaambia huyo... samia amelaaniwa na abdul mzawa wa tumbo lake kalaaniwa watu mkaniona mpumbavu kwa hayo maneno ila ukweli ukajulikana day by day
 
Umelaaniwa wewe kwa kukosa adabu juu ya watu wazima ,wazazi wa wengine na viongozi wa nchi......
 
Kumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli.

Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji.

Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari.

Soma Pia: Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa Magufuli ni kulinda rasilimali za nchi siyo kushinda kaburini kwake na mashada ya Maua!

Mlale Unono 😀🌹
20240915_050646.jpg
 
Cha kujadili…

“ Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji.

Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari.”
 
Hajawahi kumwita mh.Rais kuwa ni dikteta uchwara ...ila alimwita hayati JPM hivyo.....

Sasa kumsifu JPM aliyembagaza si ukichaa?!!🤣
Get serious. Alichosema Lema ni sifa?

You've missed the point.
 
Kumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli.

Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji.

Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari.

Soma Pia: Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa Magufuli ni kulinda rasilimali za nchi siyo kushinda kaburini kwake na mashada ya Maua!

Mlale Unono 😀🌹
Hiyo inaonyesha kuna kitu kifanyike maana hali si shwari. Katikati ya utekaji na mauaji hayo kuna waosema hali ni shwari ni hatari sana.
 
Kumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli.

Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji.

Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari.

Soma Pia: Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa Magufuli ni kulinda rasilimali za nchi siyo kushinda kaburini kwake na mashada ya Maua!

Mlale Unono 😀🌹
Anamfagilia? Sawa.

Enzi zile shujaa wako Magufuli akiita Covid-19 ni "changamoto ya kupumua" Wizara ya Afya na serikali nzima inatambaa na hiyo beat "changamoto ya kupumua"! Hadi makanisani na misikitini. Hakukuwa na kauli mbadala. Hilo ndilo fagio alilopitisha Lema.

Sasa msaidie kiongozi wa sasa kuweka consistency ya kauli kwa watu wake na yeye afagiliwe.
 
Kibiblia Kiongozi wa Vita hutangulia mbele

Yeye kafa lakini Taifa limepona na Duniani kote Tanzania inaheshimika hata virusi Vya mpox wanaogopa kuvirusha bongo 🐼
 
Back
Top Bottom