Lema: Ingekuwa Magufuli pasingekuwa na kauli mbili za" Hali siyo shwari" na " Hali ni Shwari kabisa" kutoka Serikali hiyo hiyo

Halima Mdee alienda lockdown alivyorudi moja Kwa moja CCM hadi bungeni πŸ˜‚πŸ”₯
Hizo porojo. Ukweli ni huu:

Shujaa wako alifikisha ujumbe kwa vijana shupavu wa Mbowe kuwa enzi za politics as usual ndio zimefika mwisho. Yeye ndio keshakuwa alfa na omega. Hivyo anayejipenda achague ama kuungana naye au kutupwa nje milele kutakakokuwa na kilio na kusaga meno!

Halima, aliyekwishaanza kububujikwa na machozi kule Kawe kwa mshenga akaona isiwe tabu; akamtosa Mbowe na kudandia karandinga la jiwe hadi gereji kwa mbatizaji wa bunge. Hivyo ndivyo alivyosavaivu enzi za giza hadi leo.
 
Una uelewa mdogo. Lema hamfagilii Magufuli, take home message ni kuwa lile lilikuwa na kauli moja tu ya UA, PIGA RISASI, FILISI and the like!
 
Una uelewa mdogo. Lema hamfagilii Magufuli, take home message ni kuwa lile lilikuwa na kauli moja tu ya UA, PIGA RISASI, FILISI and the like!
Sasa wewe ulitaka Serikali iwe na ndimi mbili kama Chadema? 🐼

Mbowe: Maridhiano ndio njia muafaka ya kuunganisha Taifa

Lisu: Maridhiano ni Mazingaombwe

Heri ya Sikukuu ya Mazazi ya Mtume 🌹
 
Umelaaniwa wewe kwa kukosa adabu juu ya watu wazima ,wazazi wa wengine na viongozi wa nchi......
Samia kalaaniwa wewe tulia tu utakili kwa kinywa chako huku ukibubujikwa na machozi ya damu ...ngoja dogo abdul amalizie kuunda kikosi chake cha kumwaga damu....dogo abdul mashetani yamesha mpanda kichwani kwa sababu ya laana soon mtamjua kuwa jina lake ni ABDUL THE KILLER (Siri tundu lissu hayupo salama chini ya abdul)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…