johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Halima Mdee alienda lockdown alivyorudi moja Kwa moja CCM hadi bungeni 😂🔥Aisee 😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halima Mdee alienda lockdown alivyorudi moja Kwa moja CCM hadi bungeni 😂🔥Aisee 😳
😍😍😍😍Kibiblia Kiongozi wa Vita hutangulia mbele
Yeye kafa lakini Taifa limepona na Duniani kote Tanzania inaheshimika hata virusi Vya mpox wanaogopa kuvirusha bongo 🐼
Hizo porojo. Ukweli ni huu:Halima Mdee alienda lockdown alivyorudi moja Kwa moja CCM hadi bungeni 😂🔥
Una uelewa mdogo. Lema hamfagilii Magufuli, take home message ni kuwa lile lilikuwa na kauli moja tu ya UA, PIGA RISASI, FILISI and the like!Kumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli.
Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji.
Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari.
Soma Pia: Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa Magufuli ni kulinda rasilimali za nchi siyo kushinda kaburini kwake na mashada ya Maua!
Mlale Unono 😀🌹
Sasa wewe ulitaka Serikali iwe na ndimi mbili kama Chadema? 🐼Una uelewa mdogo. Lema hamfagilii Magufuli, take home message ni kuwa lile lilikuwa na kauli moja tu ya UA, PIGA RISASI, FILISI and the like!
Samia kalaaniwa wewe tulia tu utakili kwa kinywa chako huku ukibubujikwa na machozi ya damu ...ngoja dogo abdul amalizie kuunda kikosi chake cha kumwaga damu....dogo abdul mashetani yamesha mpanda kichwani kwa sababu ya laana soon mtamjua kuwa jina lake ni ABDUL THE KILLER (Siri tundu lissu hayupo salama chini ya abdul)Umelaaniwa wewe kwa kukosa adabu juu ya watu wazima ,wazazi wa wengine na viongozi wa nchi......