Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
“Winga ya kulia Lissu, Winga ya kushoto Heche halafu mimi(Godbless Lema) napita katikati halafu wanasema nilisema tutamleta Dkt. Slaa. Kaka tulimpa Lowassa(Hayati Edward Lowassa) Urais mtu wa CCM(Chama Cha Mapinduzi) itakuwa kumrudisha Slaa(Dkt. Wilbroad Slaa).
Yeyote atajayetaka kurudi kwenye chama hiki kwa masharti ya kuwa mpiganaji ya kutubu dhambi tusonge mbele tusumbue CCM karibu. Hiki chama jumatano tukimchagua Lissu Alhamisi kinachangamka. Lissu aliwaambia hivi nitamuogopa nani kama mwilini nina risasi?”
Soma Pia: Ezekiel Wenje: Dkt Slaa alikuwa anataka aifute CHADEMA kwa msajili wa vyama. Leo Lema na Lissu wanataka arudishwe kamati kuu
Maneno ya Godbless Lema aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini akizungumza na wanahabari leo Januari 19, 2025.