“Winga ya kulia Lissu, Winga ya kushoto Heche halafu mimi(Godbless Lema) napita katikati halafu wanasema nilisema tutamleta Dkt. Slaa. Kaka tulimpa Lowassa(Hayati Edward Lowassa) Urais mtu wa CCM(Chama Cha Mapinduzi) itakuwa kumrudisha Slaa(Dkt. Wilbroad Slaa).
Yeyote atajayetaka kurudi kwenye chama hiki kwa masharti ya kuwa mpiganaji ya kutubu dhambi tusonge mbele tusumbue CCM karibu. Hiki chama jumatano tukimchagua Lissu Alhamisi kinachangamka. Lissu aliwaambia hivi nitamuogopa nani kama mwilini nina risasi?”
Maneno ya Godbless Lema aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini akizungumza na wanahabari leo Januari 19, 2025.
Time ilobaki ni ndogo sana,either ajitoe sasa kuepuka AIBU YA KUSHINDWA VIBAYA,NA ITAINGIA KWENYE RECORD RASMI YA KUNYOFOLEWA AMA AUE/AKIDOGOSHE CHAMA.
Ubishi na u-Alfa na Omega umemponza tu,nje ntiti ndani ntiti
“Winga ya kulia Lissu, Winga ya kushoto Heche halafu mimi(Godbless Lema) napita katikati halafu wanasema nilisema tutamleta Dkt. Slaa. Kaka tulimpa Lowassa(Hayati Edward Lowassa) Urais mtu wa CCM(Chama Cha Mapinduzi) itakuwa kumrudisha Slaa(Dkt. Wilbroad Slaa).
Yeyote atajayetaka kurudi kwenye chama hiki kwa masharti ya kuwa mpiganaji ya kutubu dhambi tusonge mbele tusumbue CCM karibu. Hiki chama jumatano tukimchagua Lissu Alhamisi kinachangamka. Lissu aliwaambia hivi nitamuogopa nani kama mwilini nina risasi?”
Maneno ya Godbless Lema aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini akizungumza na wanahabari leo Januari 19, 2025.
Kiukweli Slaa akirudi basi Chadema itarudi ya kipindi kile... sema wawarudishe na wale Covid19... Wawape majimbo wakapambane tupate bunge lililobalance