othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
NO reforms no election wewe unatapeliwa localy kabisa bora utapeliwe kidigitalymaskini dah,
gentleman,
nachokaje kusema ukweli hali ya kua ukweli hauchoshi?
ni kitu mbaya sana anaejiona ana akili timamu kukubali kutapeliwa pesa zake kirahisi sana tena kidigitali kabisaa na matapeli na vibaka wa kisiasa π
eti no elections halafu linadanganywa kura zimeibiwa wakati halijapiga kura π€£NO reforms no election wewe unatapeliwa localy kabisa bora utapeliwe kidigitaly
KWAHIYO KITEMBEZA BAKULI NDOYO SERA YA CHADEMA...PUMBAVU KABISAMjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi kwa kiasi walichonacho kwani fedha hizo zitakisaidia chama hicho kufanya kazi zake na kuwafikia wananchi wengi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: CHADEMA yakusanya zaidi ya Milioni 64 kupitia kampeni ya Tone Tone
Akizungumza leo machi 14 kwenye tukio la 'Tone Tone Night'
Lema amesema fedha hizo zitakisaidia chama kuacha hata kutegemea ruzuku ambayo wanapewa na serikali kila mwezi.
NO refoms no election, mtajipigia wenyewe na kujiibia wenyewe safari hiieti no elections halafu linadanganywa kura zimeibiwa wakati halijapiga kura π€£
NO refoms no election, mtajipigia wenyewe na kujiibia wenyewe safari hii
ili na matapeli na vibaka wa kisiasa nchini wajiumbue wenyewe kwamba wameibiwa kura na hawajapiga hizo kura,NO refoms no election, mtajipigia wenyewe na kujiibia wenyewe safari hii
Kiingereza ni Lugha ya pili ya TaifaSasa kwa nini unanijibu kwa Kiingereza, ili iweje?
Not true, I contributed to the real party; the party of the Peoplegentleman ,
how am I losing, while the one who is cheated and bribed to contribute money by political bandits is you?π
Wishful thinking!!!!!!!!!!1 HongeraGentleman,
hakipo chama cha siasa cha upinzani Tanzania chenye nia, mipango wala uwezo wa kushinda uchaguzi, kushika dollar, kuunda serikali na kuongoza nchi ispokua CCM pekeyake.
Uende ukamueleze na Mwenyekiti wa chama chako kuhusu hili.
Chama cha siasa cha kuishinda CCM bado hakijaanzishwa na hakitarajiwi kuanzishwa karne hii.
Kwahivyo gentleman,
huna haja ya kubabaika na imani potofu na ramli za kujifariji π
it's ignorant if somebody lives without a wish politically speaking πWishful thinking!!!!!!!!!!1 Hongera
Ati ni mtafiti wa ccm huyo kazi yake unafiki na kusema uongo kana kwamba hajui kama ni dhambi kubwa ya ufitini wake.Hata hujui Angola walialikwa na kulipiwa? Roho mbaya itakuua bro. Utatunga mauongo ili yakusaidie nini? Desperate!
Acha upotoshaji.Last week zilichangwa milioni 64,
kati ya hizo milioni 45 zimetumika kama nauli ya kwenda Angola na kurudi,
kuna kuepuka utegemezi hapo kweli gentleman kama sio utapeli wa kidigitali wa pesa za wananchi maskini wa Tanzania?π
hebu elezea wadau usahihi wa matumizi ya milioni 45 kwenye safari ya Angola gentleman na itapendeza zaidi πAcha upotoshaji.
Hizo pesa zitapigwa tu kama zilivyopigwa zile za Join the chain. Na Godbless Lema hapo ndipo atajilipa kwa kazi aliyoifanya kumbomoa MboweMjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi kwa kiasi walichonacho kwani fedha hizo zitakisaidia chama hicho kufanya kazi zake na kuwafikia wananchi wengi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: CHADEMA yakusanya zaidi ya Milioni 64 kupitia kampeni ya Tone Tone
Akizungumza leo machi 14 kwenye tukio la 'Tone Tone Night'
Lema amesema fedha hizo zitakisaidia chama kuacha hata kutegemea ruzuku ambayo wanapewa na serikali kila mwezi.
Leta ushahidihebu elezea wadau usahihi wa matumizi ya milioni 45 kwenye safari ya Angola gentleman na itapendeza zaidi π
huo ndio ukweli usio na mashaka gentleman,Leta ushahidi
Ninajua unalipwa kwa porojo zako, lakini angalao uwe unaweka ushahidi hata feki.huo ndio ukweli usio na mashaka gentleman,
zilichangwa milioni 64, kati ya hizo milioni 45 zimetumika kwa safari ya Angola kwenda na kurudi,
zimebaki shilingi ngapi hapo?π
kuna vibaka waliwahi kutuhumu wengine pale chadema HQ kwamba wana matumizi mabaya ya pesa za chama,Ninajua unalipwa kwa porojo zako, lakini angalao uwe unaweka ushahidi hata feki.