Pre GE2025 Lema: Kupitia Tone tone kutapunguza utegemezi wa Ruzuku

Pre GE2025 Lema: Kupitia Tone tone kutapunguza utegemezi wa Ruzuku

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
maskini dah,

gentleman,
nachokaje kusema ukweli hali ya kua ukweli hauchoshi?

ni kitu mbaya sana anaejiona ana akili timamu kukubali kutapeliwa pesa zake kirahisi sana tena kidigitali kabisaa na matapeli na vibaka wa kisiasa 🐒
NO reforms no election wewe unatapeliwa localy kabisa bora utapeliwe kidigitaly
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi kwa kiasi walichonacho kwani fedha hizo zitakisaidia chama hicho kufanya kazi zake na kuwafikia wananchi wengi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: CHADEMA yakusanya zaidi ya Milioni 64 kupitia kampeni ya Tone Tone

Akizungumza leo machi 14 kwenye tukio la 'Tone Tone Night'

Lema amesema fedha hizo zitakisaidia chama kuacha hata kutegemea ruzuku ambayo wanapewa na serikali kila mwezi.

KWAHIYO KITEMBEZA BAKULI NDOYO SERA YA CHADEMA...PUMBAVU KABISA
 
Attachments

  • BUSARA.mp4
    1.9 MB
gentleman ,
how am I losing, while the one who is cheated and bribed to contribute money by political bandits is you?🐒
Not true, I contributed to the real party; the party of the People
You never contributed to your party CCM, because they have a loophole to steal from the Coffers like you and I.
Have you asked yourself where do they (CCM) get that money they lavish with?
 
Gentleman,
hakipo chama cha siasa cha upinzani Tanzania chenye nia, mipango wala uwezo wa kushinda uchaguzi, kushika dollar, kuunda serikali na kuongoza nchi ispokua CCM pekeyake.
Uende ukamueleze na Mwenyekiti wa chama chako kuhusu hili.
Chama cha siasa cha kuishinda CCM bado hakijaanzishwa na hakitarajiwi kuanzishwa karne hii.

Kwahivyo gentleman,
huna haja ya kubabaika na imani potofu na ramli za kujifariji 🐒
Wishful thinking!!!!!!!!!!1 Hongera
 
Hata hujui Angola walialikwa na kulipiwa? Roho mbaya itakuua bro. Utatunga mauongo ili yakusaidie nini? Desperate!
Ati ni mtafiti wa ccm huyo kazi yake unafiki na kusema uongo kana kwamba hajui kama ni dhambi kubwa ya ufitini wake.
 
Last week zilichangwa milioni 64,
kati ya hizo milioni 45 zimetumika kama nauli ya kwenda Angola na kurudi,

kuna kuepuka utegemezi hapo kweli gentleman kama sio utapeli wa kidigitali wa pesa za wananchi maskini wa Tanzania?🐒
Acha upotoshaji.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi kwa kiasi walichonacho kwani fedha hizo zitakisaidia chama hicho kufanya kazi zake na kuwafikia wananchi wengi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: CHADEMA yakusanya zaidi ya Milioni 64 kupitia kampeni ya Tone Tone

Akizungumza leo machi 14 kwenye tukio la 'Tone Tone Night'

Lema amesema fedha hizo zitakisaidia chama kuacha hata kutegemea ruzuku ambayo wanapewa na serikali kila mwezi.

Hizo pesa zitapigwa tu kama zilivyopigwa zile za Join the chain. Na Godbless Lema hapo ndipo atajilipa kwa kazi aliyoifanya kumbomoa Mbowe
 
Leta ushahidi
huo ndio ukweli usio na mashaka gentleman,
zilichangwa milioni 64, kati ya hizo milioni 45 zimetumika kwa safari ya Angola kwenda na kurudi,

zimebaki shilingi ngapi hapo?🐒
 
huo ndio ukweli usio na mashaka gentleman,
zilichangwa milioni 64, kati ya hizo milioni 45 zimetumika kwa safari ya Angola kwenda na kurudi,

zimebaki shilingi ngapi hapo?🐒
Ninajua unalipwa kwa porojo zako, lakini angalao uwe unaweka ushahidi hata feki.
 
Ninajua unalipwa kwa porojo zako, lakini angalao uwe unaweka ushahidi hata feki.
kuna vibaka waliwahi kutuhumu wengine pale chadema HQ kwamba wana matumizi mabaya ya pesa za chama,

Je,
milioni 45 kutumika kwa safari ya Angola kwenda na kurudi ndio matumizi sahihi ya tone tone, si ndio?

hao vibaka waliwahi kuwasilisha ushahidi wa matumizi mabaya ya pesa za walizokua wanadai zinatumika vibaya?

au una mbwelambwela tu gentleman na kujifanya huelewi kwamba unatapeliwa pesa kidigitali na vibaka wa kisiasa?🐒
 
Back
Top Bottom