Lema kurudishiwa ubunge: Je nini kifanyike kwa majaji waliofuta ubunge wake

Lema kurudishiwa ubunge: Je nini kifanyike kwa majaji waliofuta ubunge wake

majaji na mahakimu wana judicial immunity
ya kutochukuliwa hatua wanapotoa maamuzi kama hawajakiuka maadili
hiyo iko worldwide,ndio mana kuna haki ya rufaa kama hujaridhika na hukumu au mwenendo wa kesi

Ni kweli mkuu lakini hiyo immunity wanaitumia vibaya nadhan ingekuwa vyema kama hiyo immunity itumike kwa wale wanao act in a good faith lakini wanaoitumia vibaya waangaliwe kwa jicho la tatu
 
Back
Top Bottom