Lema: Mbowe bado ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama na yuko kwenye group la WhatsApp mijadala yote kuhusu kesi anaiona

Mbowe akisikiliza kesi anahukumu nini? Au ataulizwa chochote au ni shahidi?
Kama hapendi kuhudhuria mmeshajua mwacheni kesi ina zaidi ya mwaka yeye kaka kimya tuu bado hamjaelewa nini?
 
Mwamba kaanza kumsafishia njia ndugu yake
 
Kweli kabisa. Kwa kifupi strategic engagement ni udalali.
 
Sasa mjumbe wakati kuu anafichwa Siri gani?
 
Hiki chama bado kinahitaji kufanyiwa usafi wa kina ili kukidhi vigezo vya kuaminiwa na wapenda mabadiliko.
Hakuna chama hapo ni kiiujdo Cha wanaharakati wapumbavu wanaotumiwa na Mabeberu.

Inawezekanaje mpuuzi mmja kama Mange akawa ndio kawashikia akili hao wanaojiita wanachadoko?
 
Mbowe akisikiliza kesi anahukumu nini? Au ataulizwa chochote au ni shahidi?
Kama hapendi kuhudhuria mmeshajua mwacheni kesi ina zaidi ya mwaka yeye kaka kimya tuu bado hamjaelewa nini?
Ila CHADEMA nao wanaboa sometimes. Mbowe kwenda mahakamani isiwe big deal. Vingine waachane navyo
 
Kwanza hata Mimi ningekuwa mbowe siwezi enda,kama Leo ndio mnamuona wa maana ila wakati mnamdhakilisha si mlimuona mavi?

Pili si mnamuita mwanaCCM Sasa aje kuhushuria kesi yenu ya nini?

Mbowe shikilia hapo hapo Hawa wapumbavu wanaoendeshwa na kushukikiwa akili na kina Mange Hadi wajifunze.
 
Strategic engagement na nani? Hawa watekaji wa CCM. Wanachama wa CHADEMA wanatekwa nje ya nchi , wewe umebaki na strategic engagement.
Kwamba Unatarjia kwamba Hii nchi ipate mabadiliko bila Engagement za Kimkakati?Kwamba Mkaze Fuvu na Kupost Mitandaoni Mpaka Watu wabadilike.Kweli CCM wamewaweza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…