Pre GE2025 Lema: Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya Kuonea tena, tupo tayari kulipa gharama!

Pre GE2025 Lema: Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya Kuonea tena, tupo tayari kulipa gharama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya kuonea tena wala kutesa tena

Ili kulinda Demokrasia ya kweli kuna mambo mawili ya Kuzingatia yaani kuwa tayari kulipa gharama yoyote Wakati wote Katika kulinda Heshima na malengo yetu

Amefahamisha Lema ukurasani X

Nawatakieni Pasaka njema 😀
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya kuonea tena wala kutesa sana

Ili kulinda Demokrasia ya kweli kuna mambo mawili ya Kuzingatia yaani kuwa tayari kulipa gharama yoyote Wakati wote Katika kulinda Heshima na malengo yetu

Amefahamisha Lema ukurasani X

Nawatakieni Pasaka njema 😀
maskini Lema anaweweseka na kihoro mbaba wa watu 🐒,

asiye mtaka kamwendea direct dah 🐒
 
Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.

Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Awaachie majimbo ya free, yeye anayatoa wapi!? Hebu peleka uwendawazimu wako huko. Hakuna anayetaka kubebwa hapa, cha msingi chaguzi ziwe huru na maamuzi ya wananchi yaheshimiwe. Hilo TU, na sio lile la GSM kumteua Refa wa mechi ya Simba na Yanga. BTW yule aliyetaka kuua upinzani, aliishia wapi!?
 
Lema tayari ameshaanza kuweweseka na kuchanganyikiwa.maana anajuwa ndio mwisho wa kazi yake ya kuwatapeli watu magari. Lakini pia anajuwa ndio mwisho wa ndoto zake za ubunge katika jimbo lolote lile ndani ya mkoa wa Arusha na mahali popote pale katika ardhi ya Tanzania.
Mwambie Makonda ajipambanie msoga wasije kumnyanganya hata huo ukuu wa mkoa. Alikuwa ameshasahaulika. By the way mapambio Yako unayoandika yameshindwa kukusaidia kupata uteuzi. Endelea kuimba mapambio.
 
Lema aishi na hayo maneno, naamini kilele chake kitakuwa kwenye uchaguzi mkuu ujao pale kwenye chumba cha kuhesabia kura, watakapokuwa Gambo, Makonda, RPC, Mkuu wa Wilaya ya Arusha na baba'ke Sabaya ili kulinda wizi wa mgombea wa CCM pale Arusha Mjini.
 
Alishindwa kumuokoa bwana wake Magufuli, asipoangalia hata huo ukuu wa mkoa watamnyang'anya hao Msoga.
Walishindwa kummaliza kule kusini, kikubwa mmetia hasara ya magari ya watu tu na jamaa kabeba mapassword anakuja kuwapelekea moto hukohuko maana sehemu yenu ya kamati ya ufundi mmeshabinywa
 
Nauheshimu mchakamchaka wa maneno mengi ya Lema usiyo na matendo yoyote!

Mwacheni aongee ila vitendo ni o"
 
Walishindwa kummaliza kule kusini, kikubwa mmetia hasara ya magari ya watu tu na jamaa kabeba mapassword anakuja kuwapelekea moto hukohuko maana sehemu yenu ya kamati ya ufundi mmeshabinywa
Anaishi kwa hisani Sasa. Mwambieni aendelee kupiga kelele na kuotesha sharubu.
 
Back
Top Bottom