johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
maskini Lema anaweweseka na kihoro mbaba wa watu 🐒,Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya kuonea tena wala kutesa sana
Ili kulinda Demokrasia ya kweli kuna mambo mawili ya Kuzingatia yaani kuwa tayari kulipa gharama yoyote Wakati wote Katika kulinda Heshima na malengo yetu
Amefahamisha Lema ukurasani X
Nawatakieni Pasaka njema 😀
Kwa yale Maandamano Arusha anatakiwa Makonda tu 😂🔥maskini Lema anaweweseka na kihoro mbaba wa watu 🐒,
asiye mtaka kamwendea direct dah 🐒
Awaachie majimbo ya free, yeye anayatoa wapi!? Hebu peleka uwendawazimu wako huko. Hakuna anayetaka kubebwa hapa, cha msingi chaguzi ziwe huru na maamuzi ya wananchi yaheshimiwe. Hilo TU, na sio lile la GSM kumteua Refa wa mechi ya Simba na Yanga. BTW yule aliyetaka kuua upinzani, aliishia wapi!?Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.
Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Mwambie Makonda ajipambanie msoga wasije kumnyanganya hata huo ukuu wa mkoa. Alikuwa ameshasahaulika. By the way mapambio Yako unayoandika yameshindwa kukusaidia kupata uteuzi. Endelea kuimba mapambio.Lema tayari ameshaanza kuweweseka na kuchanganyikiwa.maana anajuwa ndio mwisho wa kazi yake ya kuwatapeli watu magari. Lakini pia anajuwa ndio mwisho wa ndoto zake za ubunge katika jimbo lolote lile ndani ya mkoa wa Arusha na mahali popote pale katika ardhi ya Tanzania.
Hapana ndugu yangu mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani.Mwambie Makonda ajipambanie msoga wasije kumnyanganya hata huo ukuu wa mkoa. Alikuwa ameshasahaulika. By the way mapambio Yako unayoandika yameshindwa kukusaidia kupata uteuzi. Endelea kuimba mapambio.
Lema Ni tapeli la magari.Kamanda amepatwa na nini tena?
Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza ruhusu tapeli kama lema awe mbunge na kwenda Bungeni.maskini Lema anaweweseka na kihoro mbaba wa watu 🐒,
asiye mtaka kamwendea direct dah 🐒
Mimi sio ndugu Yako, siwezi kuwa na ndugu anayeshabikia muuaji Makonda. Wewe ni kichaa.Hapana ndugu yangu mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani.
Mwenye akili timamu ni wewe unayeshabikia muuaji Makonda!? By the way, kwani wewe ndiye unamchagua Lema au wananchi!? Wapumbavu wa ccm mnajivua nguo hadharani. Vichaa nyie.Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza ruhusu tapeli kama lema awe mbunge na kwenda Bungeni.
Walishindwa kummaliza kule kusini, kikubwa mmetia hasara ya magari ya watu tu na jamaa kabeba mapassword anakuja kuwapelekea moto hukohuko maana sehemu yenu ya kamati ya ufundi mmeshabinywaAlishindwa kumuokoa bwana wake Magufuli, asipoangalia hata huo ukuu wa mkoa watamnyang'anya hao Msoga.
Anaishi kwa hisani Sasa. Mwambieni aendelee kupiga kelele na kuotesha sharubu.Walishindwa kummaliza kule kusini, kikubwa mmetia hasara ya magari ya watu tu na jamaa kabeba mapassword anakuja kuwapelekea moto hukohuko maana sehemu yenu ya kamati ya ufundi mmeshabinywa