Pre GE2025 Lema: Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya Kuonea tena, tupo tayari kulipa gharama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makonda ni mkuu wa mkoa kama wakuu wa mikoa mingine, mikakati ya CCM kuwe na makonada au nani wakiamua kushinda wao wanashinda tu kwasababu tume inaweza kutangaza hata kama lema amepata 90%
Na Konda boy kikubwa awe kwenye system mpe namba yeyote anakichafua...........afadhali ingekuwepo kwenu labda angetolewa kabisa ila kwa sasa moto bado ni uleule
 
Jisikitikie kwa kukosa akili na hekima. Aheri ungenyimwa vyote ubahatike kuwa na akili japo ile ya kawaida ya kukufanya angalao uonekane ni mwanadamu kamili.

Wazazi wako watakuwa wanajutia. Tuwaonea huruma.
Jibu ni moja tu kuwa mwambie Lema aache kuweweseka na badala yake aachane na hiyo kazi ya utapeli wa magali .maana mwamba mwenyewe na Jabali Paul Christian Makonda anatua hapo Arusha kwa kishindo sana akitokea angani kwa ndege Maalumu. Lema ni aidha aachane na kazi hiyo haramu au ashikishwe adabu.
 
Jisikitikie kwa kukosa akili na hekima. Aheri ungenyimwa vyote ubahatike kuwa na akili japo ile ya kawaida ya kukufanya angalao uonekane ni mwanadamu kamili.

Wazazi wako watakuwa wanajutia. Tuwaonea huruma.
Jibu ni moja tu kuwa mwambie Lema aache kuweweseka na badala yake aachane na hiyo kazi ya utapeli wa magali .maana mwamba mwenyewe na Jabali Paul Christian Makonda anatua hapo Arusha kwa kishindo sana akitokea angani kwa ndege Maalumu. Lema ni aidha aachane na kazi hiyo haramu au ashikishwe adabu.
 
Hivi Tanzania kuna upinzani?
 
Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.

Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Kabisa
 
Lema hadi leo haamini kuwa hana kazi (sio mbunge)
 
Mwenye akili timamu ni wewe unayeshabikia muuaji Makonda!? By the way, kwani wewe ndiye unamchagua Lema au wananchi!? Wapumbavu wa ccm mnajivua nguo hadharani. Vichaa nyie.
Amemuua nani? Tuwekee uthibitisho.
 
Marekani yamwekea vikwazo Makonda

Marekani yamwekea vikwazo Makonda
The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the ...31 Jan 2020
Serikali ya Tanzania imeendelee kuwa kimya licha ya kigogo huyo kuwekwa katika katika listi ya kupigwa marufuku na Marekani, inayomtia doa Paul Makonda kutoweza kusafirisi katika nchi zingine rafiki za Marekani ...
 
Makonda amepelekwa Arushwa ili akadhalilike. Hakuna atakachokibadili. Aheri angepelekwa hata Dodoma au Bariadi huko. Lakini Arusha, Dar, Kilimanjaro au Mbeya ataionja tu aibu. Huko atalioia uovu wake.
Arusha jiji la kidiplomasia itakuwaje?
 

Sijui Rais amepatwa na ugonjwa gani, hadi kufikia kuamini muuaji atamsaidia katika utawala wake. Anayeshirikiana na jambazi muuaji anakuwa sehemu ya muuaji.
 
Hivi Tanzania kuna upinzani?
Yule mkuu wa malaika aliyesema atauua upinzani, alikuwa anamaanisha upinzani upi!? Kwani wale wabunge wa COVID-19 mnawaolazimisha kuwepo bungeni nyie mnadai ni WA chama Gani Tena!? Hebu nikumbushe kidogo hapo.
 
Mimi nadhani huyu Nyumbu lema anastahili apelekwe mahakamani kuthibitisha

Hakuna anayeweza kuthubutu kumpeleka Mh. Lema au yeyote yule kwa sababu ya kulieleza ukweli hili jambazi liuaji. Mara ngapi Lisu amelitaja wazi na hadharani, umewahi kusikia yeyote akimhoji? Wanajua kuwa wakimhoji, itakuwa ni kulianika wazi hili jambazi uaji mbele ya umma mzima, hata wale ambao walikuwa hawajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…