Pre GE2025 Lema: Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya Kuonea tena, tupo tayari kulipa gharama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa ufupi watanzania bado tupo kwenye ukoloni mbaya saana huwezi kuhoji chochote mtu ameshiriki mauaji ya Kimberly na umoja wa mataifa wamethitisha lakini wanamteua kuingia ofisi ya umma na mikono yenye damu.kwa ufupi nchi inamilikiwa na wakoloni weusi wabaya kuliko weupe,nyerere ulitukosea saaana bora ungewaacha wazungu.ulijifanya kiherehere kupigania Uhuru,upo wapi Sasa watu wanatudharau na kutudhalilisha na kujimilikisha taifa.
 
lisu anamtaja makonda anajua akipelekwa mahakamani ataseam ndio nimemtaja makonda lakini tanzania kuna makonda wangapi, kama yeye lisu ni mwanasheria nguri amtaje makonda kwa majina yake yote matatu alafu apelekwe mahakami
 
Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.

Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Hakuna kitu kuachiana kwenye siasa never CCM ni majizi tu kwenye kura Hilo halipingiki
Madhara ya kuwa na Bunge kama hili tulilonalo unaliona ama unatumia visigino kufikiria
 
Bashite akija huku Atown atulize MATTERCORE akileta wenge machalii wa R watampa MABETO.
 
Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.

Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Kwahiyo wale jamaa ni mbwa?
 
Lema aweke hii Ishara pindi RC mpya atakapotia timu Arusha.

Hatutoi Mikono kwa Wahalifu.
 
Huyo mvuta bangi arudi kwa mke wake asahau habari ya ubunge wa Arusha huyo mshamba wa kimachame. Huyo mpumbavu aliifanya Arusha isitulie kwa siasa za kishamba na za kugawa wananchi. Hana hadhi ya kuwa mbunge wa jiji km Arusha.
 
Akizingua Ntu anazinguliwa,kama kawa kama dawa🤣
 
Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.

Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Natumai lema Kesha toa warning mtakunya bila kuvua nguo safari hii mtaifahamu chuga aseeh!
 
Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.

Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Ww na mama yako wote we.hu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…