Pre GE2025 Lema: Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya Kuonea tena, tupo tayari kulipa gharama!

Pre GE2025 Lema: Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya Kuonea tena, tupo tayari kulipa gharama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo mvuta bangi arudi kwa mke wake asahau habari ya ubunge wa Arusha huyo mshamba wa kimachame. Huyo mpumbavu aliifanya Arusha isitulie kwa siasa za kishamba na za kugawa wananchi. Hana hadhi ya kuwa mbunge wa jiji km Arusha.
Mshamba aliyeleta siasa za kishamba alishazikwa miaka 3 nyuma. Nguvu kubwa alitumia kudhulumu chaguzi akaishia kukaa mwaka Mmoja TU.
 
Sijawahi kuona hekima za LEMA, wala sijui anaongeaga vitu gani otherwise anaumwa ukichaa wenye faida kwa familia yake!!!
Anabwabwaja ovyo asikike apate gawio
 
Sijawahi kuona hekima za LEMA, wala sijui anaongeaga vitu gani otherwise anaumwa ukichaa wenye faida kwa familia yake!!!
Anabwabwaja ovyo asikike apate gawio
Tutegemee muda wowote
maiti-9.jpg
 
Wana Arusha hili.la kutuletea huyu mhalifu linatufanya kujisikia mbaya. Mkuu alitakiw kuheshimisha Arusha yetu. Sasa mharibifu unatuletea wa nini kama mtu alishindikana za mwendazake utamuweza! Nadhani walioshauri kumrejesha kwenye kazi wameharibu sifa ya Mkuu.
Yetu macho tugawane fito. Funga njema.
 
huyu Lema damu za wale aliowauwa wakati w uporaji magari bado zinamwandama ndo maana haishi kutapatapa,atokeze hadharani atubu na nafsi yake itatulia.
 
Lema Bwana, ujasiri huu ungekuwa nao usingekimbilia Canada.

Kifupi Paul Makonda bila JPM ni mnyonge tu na anaweza kutishiwa nyau na yeyote yule.
Zama zile alikuwa full power na ndio ilikuwa kipimo cha kuonyeshana umwamba kama naye Lema kweli alikuwa mwamba.

Ni sawa na kumwambia AJ aombe pambano na Mike Tyson wa sasa na kujiita yeye NI mbabe wa Mike.
 
Mwizi wa magari lazima aweweseke,maana Makonda hatavumilia huo wizi kuendelea
 
Lema mwenyewe kutoroka na kuvuka border Namanga ni msaada wa mwamba wa Saigoni na hata kurudi kwake ni yuleyule mwamba Msaigoni.

Hata ubunge atakaopata 2025 ni nguvu ileile ya Msaigoni.

Siasa za Bongo kelele mdomoni tu lakini hakuna mwenye ujanja wa kukaza.
 
Aache kutapatapa , mama alitaka kuwaachia majimbo kadhaa for free wao wakapandisha mabega na kujidai wanaweza kufight.

Sasa watulia mama ameshaamua mazoea na mbwa ni mabaya.
Mpumbavu kweli kweli wewe,huyo mama yako alienda Leba akajifungua Majimbo?
Majimbo ni mali ya Watanzania wote,huyo mama yako hakuyakojoa swaini mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom