Inakuwaje wanajamvi!
Mwamba wa Kaskazini Godbless Lema bado anawaacha vinywa wazi wana usalama hadi navyoandika huu uzi aliwezaje kuwatoroka kitaalam pale Mpakani namanga?
Huyu mwamba ni hatarii techniques alizotumia si za kawaida ni military offensive techniques alitumia kama countersugency na hit and run.
Lema ni akili kubwa yani mbinu za medani alizoapply pale border na uhakika baadhi ya wanausalama wameshafukuzwa kazi na kuhamishwa. Siyo hizi mbinu za medani za kuibia watu korosho.
Mwamba alitumia pia camouflage techniques undercover of darkness kwa kuibukia upande wa pili undetected.
Ukiwa kwenye mazingira kama haya akili inatakiwa kutulia sana kwasababu unakabiliana na maadui wa shamba. Hili tuliliona alivyokaa gerezani miezi kadhaa eti wakimkomoa. But he mentained his cool na hatimaye kuibuka kidedea.
Na endapo wangebreach international border law wakamfuata hadi kajiado hapo ndipo ingekuwa kilio angeapply 'scorched earth policy' hii mbinu kwenye military ni hatari yani sasa hivi tungekuwa tunazungumzia mengine.
Mwamba wa Kaskazini anastahili tuzo