Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Wajameni!
Lema leo ametema cheche zake katika kuelekea uchaguzi wa CHADEMA taifa. Na ameonyesha kummunga mkono Tundu Lissu
====================
Na nikigundua kwamba mimi kuwa mwanachama wa chama hiki CHADEMA kwa maamuzi haya (kumuunga mkono Lissu) ambayo ni ya kidemokrasia sana yatawakwaza nitakuwa mwanaharakati huru nitasema sina chama lakini kamwe sitaweza kuwa mwana CCM.
"Maria Sarungi sio mjumbe wa kamati kuu Fatma Karume sio mjumbe wa kamati kuu Madeleka sio mjumbe wa kamati kuu hatusemi kwa sababu tuna jina tunasema kwa sababu kuna hitaji la kusema."
Godbless Lema akizungumza na wanahabari leo Januari 14 Dar Es Salaam.