Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kada wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema amesema chama hicho hakipo kwa ajili ya kuwafikisha watu katika ndoto zao badala yake wapo kwa ajili ya kupambania maisha ya kizazi kijacho.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema popote walipo G55 waondoke akitumia neno la " TEMBEENI " Kwani wapo watu wamefariki kutokana na chama hicho na hakuna waliodai uongozi