Lema punguza uhuni !

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Heshima kwenu wanajamvi.

Lema kafanya press conference 3 ndani ya week hoja zake ni zile zile hana jipya.

Uhuni wa Lema ni pale alipowaburuza wenyeviti wa mikoa wasiozidi wanne na kuwachanganya na wahuni wa Mbarahati na kudai ni Wenyeviti wa Mikoa 25.

Tunajua Lema amevuta mpunga mrefu kwaajili ya shughuli hiyo ya kihuni.Baada ya uchaguzi sijui kama watakaa meza moja na Lissu.

Ngongo kwasasa Mlimani City.
 
Hahahaha Lengo ilikua ni kumtishia nyau Mbowe ajitoe…. Jamaa hawajiamini kabisa katika boksi la kura 😂😂
 
Rushwa aliokula Mbowe itamtokea puani. Ameamua kumaliza maisha yake ya kisiasa kwa ukiwa na aibu kuu.
 
Yn chadema mwenzenu akiwa kinyume na nyie mnasema amenunuliwa 😂 kwan nyie mlimnunua Lowassa kwa sh ngapi
 
Nadhani leo mmejionea wenyewe mkutano wa Wenyeviti wa Mikoa 17 ambao walijitambulisha Mikoa watokayo bila ghilba.

Niliwaambia Lema aliokota wahuni wenzake wa Mburahati hamkunielewa lakini sasa Dunia imenielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…