Mheshimiwa akiwa anaongea na madreva tours waliomtembelea nyumbani kwake pale njiro jijini Arusha ametoa maoni yake, kasema kua wanawake wa Tanzania hawajui kupika chakula chochote zaidi wanaloweka tu.
Kasema toka aingie nchini canada anapikiwa chakula chenye viwango vya kimataifa ambapo ni ngumu kwa akina mama wa tanzania kuweza kupika chakula cha aina hiyo, lakini kubwa alilogusia ni mazingira machafu ambapo vyakula huandaliwa ndio maana magonjwa ya tumbo hayaishi.
Mheshimiwa amewaasa akinamama wa nchi hii walau kwenda vyuoni kujifunza kupika na sio kuloweka vyakula ndio maana matatizo kiafya ni makubwa sana.