Lema tena: Asema wanawake wa Tanzania hawajui kupika

U-great thinker wa jf kwa sasa siuoni. Watu hawajibu au kushindana kwa hoja iliyoenda shule bali ni kutoa matusi na kejeli kwa wenzao pasipo sababu za msingi. Au labda tuseme ndio mmomonyoko wa maadili kwa vijana wa sasa. Kwa kweli ni kichefu chefu mtu kujiona una akili nyingi kuliko wote humu, na kuanza kudhihaki, kutusi, na kujimwambafai angali hoja iliyoko mezani ni ya kistaarabu.

NB: Kwa hoja za hovyo ni bora zijibiwe hovyo pia na zile za kistaarabu zijibiwe kistaarabu. Mfano mleta mada kaleta mada isiyo na ushahidi unaojitosheleza (hakuna supporting evidence). Hapa kujibiwa hovyo na wakereketwa wa mhusika ni 💯%. Lakini wakati mwingine hata watu km hawa tuwape elimu ya kustaarabika na kuposti vitu pasipo mihemko. Kinyume chake watajikuta wanashushiwa heshima na wananzengo.

Hata wale wanaotukana wasidhani wengine hawajui matusi. Kuna watu tumekulia uswahili matusi km yote sema tu umri, busara, na exposure ya kwenda darasani vinatutengamisha na hao wengine.
 
Namfananisha na ndugu zetu wa mkoani wakienda dar mwezi tu,wakirud wameshasahau kilugha,lafudhi ya kizaramo[emoji38]
 
Akiwemo mke wake maana naye ni mtanzania
 
Aseme wanawake wa Arusha, kwani keshatembelea nchi nzima. Aje kwetu Pwani aonje aone kama hajahamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…