Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mwenyekiti wa Kamati ndogo ye fedha ya CHADEMA CHADEMA ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema amesema wapo tayari kutumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili kuweza kukusanya michango ya kwenye mkakati wa Tone Tone.
Soma Pia: Godbless Lema: Mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia fedha kwa chama kwa kutumia mifumo ya kidigitali
Lema amesema hayo wakati wa uzinduzi wa mkakati huo na kueleza kuwa endapo taratibu za kisheria za nchi zikiwaruhusu watatangaza sarafu ya kidijitali ya CHADEMA ambayo itaitwa CDM Coin au CHADEMA Coin.